pantaloo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 375
- 131
So wewe ndo una shule kwa huu uandishi wa kifesibuku hahaaahah so sad
Nilikua nakukumbusha katika rasimu ya wanaume hatunaga ibara za kufungamana na wanawake kwenye mambo ya kikekike(Mfano kama mwanamke kaachwa na mwanaume mwenzio) .
So wewe umenipa mashaka kidogo.Ndo maana nikakumbuka kuwa kuna ma-caitilyn jenner hhahhahhhah
Bear it in your.....stay focused!!!
Mtashindana lakini hamtoshinda.
Safi sana ngoja nikafanye mambo yangu ya kupiga kula ya ndio davido na wizkidi ila maana hatuwezi onana na hujui nafanya nini safi but kazi yangu ni kupiga kula ya ndio kwa davido na wizkid out of that siitaji kuwa na uelewa wa ziada juu ya tatizo lako la akili