Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Attachments

  • 1434451505430.jpg
    1434451505430.jpg
    29.7 KB · Views: 91
MAMA 2015 - http://mama.mtv.com/voting/ mwendo wa malink tu kuvote tu..
Ukifata iyo lik ina maelekezo yote then utajiregista afu unavote kwa davido au wizkd na vanesa. Make sure sehemu ya dai unaipita kama huioni mamy.
Unaruhusiwa kuvote ata mara mia goooooooooooo nifah nimekusaidia jukumu

Eeeewaaa......asante ma........ngoma mdundo........tuliambiwa tunapiga kelele.......sasa ngoja tukampigie hizo kelele Davido na Vanessa..........kelele weeeee.........
 
Last edited by a moderator:
Africa we are one...me simpigii mtu kula kisa tu mtanzania noo napiga kwa anaye jua.davido safari hii hatuchiti broo maana watanzania tunapenda sana kusifia vibovu

Acha upumbuvu wa fikra afrika yako wewe inaanza Tanzania ya davido inaanzia Nigeria .

Usiponielewa inabidi tukuvalishe kipini puani .....halafu uliza nini kitafuata hahahahaha
 
Eeeewaaa......asante ma........ngoma mdundo........tuliambiwa tunapiga kelele.......sasa ngoja tukampigie hizo kelele Davido na Vanessa..........kelele weeeee.........

Woyooooooooooo nakupendaje?
Vote vote voteeeeeeeee.
Team domo watajamba chechee
 
Ngoja nipige kura nitarudii,ukiona unachefukwaa usiniqoute Tu,
 
Acha upumbuvu wa fikra afrika yako wewe inaanza Tanzania ya davido inaanzia Nigeria .

Usiponielewa inabidi tukuvalishe kipini puani .....halafu uliza nini kitafuata hahahahaha

Safi sana nahisi inakuingia vizuri mno but I will and continue voting for vanesa davido and wizkid mtu.but ungekuwa kidogo na kashule ungejua the meaninh ya tu respect locally in order to win international so akili kubwa hizo..
 
😀😀😀 kwaiyo hadi mwakani iyo 😀😀😀 au angojee ijumaa sexist man 😀😀 wampigie kura

eeee au fiesta ,kama fiesta imepita ni mwakaniii au hiyo ya mvuto ndio watapiga kura
 
Siku Daimond akifa wa kwanza kuzimiaa kama kwa kanumba watu kwa unafiki jamaniii looo

Wewe naweee!
Unamwonea wivu mwenzio alikua anapata vyombo vya maana!
Mfyuuu zako...mimi nilijuomba ubuyu unaleta haya makapi...so yesterdaaaaay!
 
Safi sana nahisi inakuingia vizuri mno but I will and continue voting for vanesa davido and wizkid mtu.but ungekuwa kidogo na kashule ungejua the meaninh ya tu respect locally in order to win international so akili kubwa hizo..

So wewe ndo una shule kwa huu uandishi wa kifesibuku hahaaahah so sad

Nilikua nakukumbusha katika rasimu ya wanaume hatunaga ibara za kufungamana na wanawake kwenye mambo ya kikekike(Mfano kama mwanamke kaachwa na mwanaume mwenzio) .

So wewe umenipa mashaka kidogo.Ndo maana nikakumbuka kuwa kuna ma-caitilyn jenner hhahhahhhah

Bear it in your.....stay focused!!!

Mtashindana lakini hamtoshinda.
 
Back
Top Bottom