Crazy GK baada ya kimya kirefu aonekana

Crazy GK baada ya kimya kirefu aonekana

gk aligoma kumlamba miguu ruge. akamua kukaa pembeni lakini maisha yanasonga vilevile. kumbuka gk na jidee ni damu damu. alikuja kubugi alipoimba wimbo wa piga manati. alikua anawajibu wanaume halisi ndege tunduni. so akawa amejiingiza kwenye bifu la wanaume pamoja na bongo records. wakina ay na fa wakajiweka pembeni so akabaki pekee. mia
 
Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.

misukosuko wanayoipata chadema kwenye siasa za Tanzania kila mtu anaijua, haina tofauti na wanayoipata wanabongofleva kwenye tasnia ya music.!!!
 
Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.

Hivi na nyinyi CCM mna mpango wakuanzisha THIEVES ACADEMY maana naona Wezi wote ndo wanakimbilia huko?

thief.jpeg
 
Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.

Anamaana cdm imefulia kama ect hapa haeleweki na pia huyu anajikosha sababu mama yake ni mbunge viti maalum cdm akiwakilisha mkoa wa mbeya nasikia na yeye anandoto za kuwa diwan upanga
 
Akina diamond tu ndo size yako!
hahaha,kama ulikuwepo.yaani nimemtafuta GK youtube manyimbo mabaya hakuna hata mmoja nilioangalia hadi mwisho,bora hata yule mikasi nimecheki nyimbo zake ni nzuri
 
Ile n rap style yake tu, kigugumizi huwezi kukidhibiti kwa hiyo asingewewe kugoma sehemu zile zile wakat wa kuperform copy to twatwatwa
 
Hao ndo wav wa kwanza kutoa video zenye ubora, kama humjuh GK we n mgen kwenye bongo flavor unakijua kizaz cha kina diamond
 
1. sister sister
2. Itikadi zetu
3. Ama zangu ama zao
4. Tutakukumbuka daima milele
5. Simba wa africa
6.
Nitakufaje
7. Miiko 10 ya rap
salute kwako? Umezuuza mtima wangu
 
Wakati anahojiwa na akina Millard alisema East Coast ni chama kubwa kama CHADEMA sijui na yeye alishatangaza nia ya kujiunga rasmi kama Prof J? Hivi CDM mnampango wa kuanzisha MUSIC ACADEMY eenh? Maana wasanii wote naona wanajiunga huko kwa kasi.

kuna mawili; moja ni chama kinachokua kwa kasi, promising na kina uhitaji wa watendaji. La pili ni wanaweza kuwa mamluki wanaotumiwa kunasa na kuvuruga mipango ya chama.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Hilo vazi alililovaa inaonyesha ameyakubali mabadiliko katika nchi hii! Chezea Gwanda wenye?!
 
Back
Top Bottom