Crazy things you did in secondary school

Nakumbuka nlkua bingwa wa kulala , kuna siku usiku tukapewa adhabu ya kulala nje assemble ground ,Duh nilishukuru nkalala kushtuka nipo mwenyewe mhh nltoka nduki...Dah maisha ya skuli
Aisee
 
Nakumbuka nlkua bingwa wa kulala , kuna siku usiku tukapewa adhabu ya kulala nje assemble ground ,Duh nilishukuru nkalala kushtuka nipo mwenyewe mhh nltoka nduki...Dah maisha ya skuli
Aisee
 
I was thief I steal mathematics books but when I finished form 4 I got F in math exam now I know there no advantage of being thief (Kingereza kilikuja na boat poooh)
 
Form two mwaka gani?
No offence intended....
Thread ya mwaka 2008 ikizungumzia zilipendwa.....

 


unakumbuka zile shati za dog style au draaaft na simple raba. teh teh teh teh tihiiiteh teh teh tihiii
 
Enzi hizo class of 2014 soitsambu sec nilikuwa wa mwisho kupokea uji alafu nakangua ukoko wa uji ilikuwa balaa unashiba utafikiri umemeza hamira wakati wengine class ni miayo tu
 
Nilikuwa fundi baiskeli za wanafunzi wa Day,nilitunza Patex yangu kajinyundo, spana Malaya, msasa na tyubu ya pechi bila kusahau kiwembe.

Wakati wa breki naenda maegesho ya baiskeli kukagua ipi ina pancha kimsingi nilizimaki baiskeli nyingi hasa zile vimeo...za maandazi (vitairi) kwa mama Gwantwa hazikuwahi kukosekana...that wasn't crazy though!

Jasiri haachi asili bado nagonga nyundo hata leo and I like every moment I screw up somebody's broken car...
 
Duuuuuu mkuu hii ni kiboko ,,nimetokea kukubali aiseee kwa mbinu hyo ya kutumia umeme nyie nouuma.
 
Duuhh Hatari me sitasahau siku mwanafunzi alivyokunya bafuni manake Hizo stiki zake si za Nchi hii
Hahahaha,umenikumbusha hata sisi kuna lijinga liliwahi kunya bafuni (bafu za kisasa hamna tundu)

Kuna kipindi hatukua na maji kuna mijitu ikawa inakula sana,afu inaenda kunya bila ku frush wala kujitawaza[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…