Nakumbuka tukiwa form Two ndo kwanza tunaanza kufahamu michepuo ya masomo
Kikundi chetu cha wavulana tisa tukawa tunajipambanua kwamba sisi ni Science na wengine nao wakawa wapenda masomo ya arts
Basi bana siku moja mwalimu wa English kaingia anafundisha baadae akatoa quiz
Rafiki yangu mmoja wakati mwalimu anapita kila kiti kusahihisha alivyofika kwake akakuta jamaa yangu amechemka karibu maswali yote teacher aka mind na akaamua kumtandika fimbo za mkononi tatu!!! [emoji4][emoji4]
Jamaa yangu akapandwa na hasira na maumivu ya viboko akajikuta amesusa na kuamua kutoka nje
Mwalimu akamwambia ukindoka humu hutahudhuria tena kipindi changu!!
Unajua jamaa alimjibu nini mwalimu???
"sawa sitaingia kwani nini............. somo lenyewe english "
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Wapambe wenzie tukaangua kicheko basi teacher alitumaind ile mbaya matokeo yake tuliadhibiwa wote na walimu kutuita ofisini tukala bakola za kutosha
SITASAHAU KISA KILE
Sent using
Jamii Forums mobile app