kipondo cha mtongozano lusungo ulikipata very late..........
nakumbuka darasa la tano primary nilipokea stiki za kutosha mbele ya class kisa niliandika barua ya kumuimbiza wifi yake ticha wangu wa kiswahili............ siwezi kusahau maana hata papuchi sikula aseeeeh!!!!!!!!!!
Ha ha ha ha duuuh
Mkuu umeniacha hoi na kunishangaza kunambia darasa la tano tayari ulijua mapenzi lol...
Sie tuliokua watoto wa getini mapenzi tumeyajua sekondari tena kidato cha nne lol
baada ya kichapo ilibidi nikome kwanza , siyo mchezo.
Acha tu hakuna denti anaenidanganya make uongo wote naujua.........Na leo wewe ni mwalimu.
Mkuu na wewe ulikuwa member wa waogaji kule mtoni chini ya daraja......?
Shuleni kwetu ilikuwa wanaweka sufuria la ukoko nje ya jikoni wakishapakua,wee inapigwa scramble hatareee form1 hadi 6 hujui nani ni nani,thank God tulikuwa girls only mana ilikuwa uchizii,..
Kwa wale tuliosoma Tabora Girls mnakumbuka mambo ya WARSAW NA BERLIN
tukitoka disco pale milambo wanaume tukiwa tunarudi tunawakuta wavulana wa TABORA BOYS ndo wanakula ugali wa usiku tunawazomea haoooo tumetoka kwa shemeji zenu basi usiku wanavaa kininja wanakuja Girls na fimbo na kutuchapa vibaya mno..............
~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.
~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana Baab kubwa!
~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadae 'unapiga chini'.
~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).
Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume... Ladies, what you used to do (crazy ones pls).