Crazy things you did in secondary school

Crazy things you did in secondary school

kipondo cha mtongozano lusungo ulikipata very late..........

nakumbuka darasa la tano primary nilipokea stiki za kutosha mbele ya class kisa niliandika barua ya kumuimbiza wifi yake ticha wangu wa kiswahili............ siwezi kusahau maana hata papuchi sikula aseeeeh!!!!!!!!!!

Ha ha ha ha duuuh

Mkuu umeniacha hoi na kunishangaza kunambia darasa la tano tayari ulijua mapenzi lol...

Sie tuliokua watoto wa getini mapenzi tumeyajua sekondari tena kidato cha nne lol
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha duuuh

Mkuu umeniacha hoi na kunishangaza kunambia darasa la tano tayari ulijua mapenzi lol...

Sie tuliokua watoto wa getini mapenzi tumeyajua sekondari tena kidato cha nne lol

baada ya kichapo ilibidi nikome kwanza , siyo mchezo.
 
baada ya kichapo ilibidi nikome kwanza , siyo mchezo.

Nakumbuka walimu wa enzi hizo walikua wanachapa balaa...

Kuna siku nikiwa darasa la 4 niliona mwalimu kalala kwenye dawati darasani nikamwambia mwenzangu eti mwalimu analala lala hovyo kama ana mimba basi wee si akaenda nisemelea bwana...

Mwalimu alinicharaza bakora hadi nililia enzi hizo no kuhesabu bakora....
 
Mkuu na wewe ulikuwa member wa waogaji kule mtoni chini ya daraja......?

Hahaha...mkuu nyeto ilikuwa inafanyiwa mabafu ya Oldonyo upande ule wa barabara ya kwenda pitch...

Ukiingia bila kutazama chini lazima uleteleze maana chini kunakuwa kumetapakaa mabao ya raia...
 
Nakumbuka jinsi O level boys walivyokuwa wanajipangia wachumba form 5 girls kwenye list ya majina, kila mtu na wake kabla hata hawaja report shuleni, na wakija seriously wanawataka.

Co education in a boarding school was magical !
 
Ngoja niende za chuo. Ni mkoa wa kati.

Kwenye pilikapilika za chuo nikaopolewa na mhasibu wa mkuu wa wilaya.

Mke wake yuko wapi usiniulize hayanihusu.

Ikawa kila mwishoni mwa wiki ni kwenda kuvunja amri za Bwana. Hapo akiishi hotelini.

Siku hiyo jumapili nimego kama Kawaida nafungua mlango niingie ndani mama yangu nikakuta laivu watu wanadu. Yaani anamla dada mmoja alikuwa polisi pale town.

Kweli zaituni alikuwa kibonge.

Nilichofanya nikuwacheki kama dakika mbili halafu nikaondoka wala mlango sikuurudishia.

All in all yakaja kwisha. Nahisi masele alinipenda.
 
Shuleni kwetu ilikuwa wanaweka sufuria la ukoko nje ya jikoni wakishapakua,wee inapigwa scramble hatareee form1 hadi 6 hujui nani ni nani,thank God tulikuwa girls only mana ilikuwa uchizii,..
 
Shuleni kwetu ilikuwa wanaweka sufuria la ukoko nje ya jikoni wakishapakua,wee inapigwa scramble hatareee form1 hadi 6 hujui nani ni nani,thank God tulikuwa girls only mana ilikuwa uchizii,..

Mmh kama st magret jamani,ingekua ina had fm 6 ningesema ulikua unasoma pale, jamani usipokua na nguvu unadumbukizwa kwenye sufuria, yani wapishi hawapati kazi ya kukwangua ukoko, nakumbuka watu walikua na jezi za kupigania ukoko, yanii daaa hahaa
 
Kwa wale tuliosoma Tabora Girls mnakumbuka mambo ya WARSAW NA BERLIN
tukitoka disco pale milambo wanaume tukiwa tunarudi tunawakuta wavulana wa TABORA BOYS ndo wanakula ugali wa usiku tunawazomea haoooo tumetoka kwa shemeji zenu basi usiku wanavaa kininja wanakuja Girls na fimbo na kutuchapa vibaya mno..............

Umenikumbusha mbali. Ikitokea zali kati yetu NATO na Milambo lililosababishwa na Girls. Eti hadi kamati ya muafaka iliundwa na siku hiyo wateule wakaja Boys.

Mwisho wa majadiliano ya muafaka-makande yakaliwa kwa pamoja.O level boys walikasirika sana kwa sababu walipania kulipa kisasi
 
Nimewahi kumwagikiwa na supu ya nyama...yani sitokaa nisahau...kugombania nyama bwaloni,nyama yenyewe moja!
 
Sasa prepo... kipindi cha mitihani ( nilipitiwa na usingizi hadI nikaota afu kwa sauti) hahahahahaha

Shule za bweni rahaaa
 
quote_icon.png
By Preta
Msalimie sana katibu Mwanyasi.......awamu hii uje nae......nina mazungumzo nae.......
Huu ujumbe una umuhimu mkubwa sana katibu wangu Mwanyasi..

Ngoja nimpigie simu kwanza ili akusalimie.....

Kwani Mwenyekiti huwa anakuja pekeake Preta?
 
Last edited by a moderator:
Bishop Arusha....wacha kabisa kwenye mashndano ya kula mchizi wangu john alimmeza samaki mzima bila kumtafuna.
 
It was inspection day,everyone was a expected to be neat and have the essential clothings including a tie.Failure of having a tie amounts to punishment similar to stealing.I had lost my tie the previous day. I was in form one.To escape the wrath of inpector,i made a tie out of plane paper.i coloured the paper blue using a markerpen(our ties were of blue and white strips).nikaipachika kwenye shati.The inpector did not realize it.everyone saw me as a badass.

On another occasion, tulivamia staff room usiku ili kula chakula kilichobaki(chakula cha walimu kilkua special halafu hiyo siku walipika kuku wengi wakabaki).bahati mbaya deputy alikua anafanya patrol.sote tulitoka mbio.deputy aliamua kufa na mmoja akanikimbiza mimi.uzuri nilipiga ninja kwa kutumia sweta,nikaruka uwanjani ucku,yeye nyuma yangu.nilimzungusha uwanja mpaka akachoka akaenda zake..

Nilikua napiga stori na marafiki breaktime nikimwiga headmaster anavyoongea,kumbe yupo nyuma yangu!nilipigwa viboko ile mbaya...

n.k
 
~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.

~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana Baab kubwa!

~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadae 'unapiga chini'.

~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).

Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume... Ladies, what you used to do (crazy ones pls).

Inaonekana mlikuwa wasafi sana nyie, sisi sarawili ya dark bluu ilikuwa inavaliwa miezi kadhaa hadi unaweza kuandika notes juu yake kwa kutumia kijiti.
 
Back
Top Bottom