ziehl neelsen
Member
- Jun 7, 2014
- 44
- 7
Dah mkuu umenkumbsha mbali sana!!! Miaka ya 2009 kulikuwa kuna alosto kiasi kwamba mnakula ugali na dawa ya mswaki shuleni!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...mkuu nyeto ilikuwa inafanyiwa mabafu ya Oldonyo upande ule wa barabara ya kwenda pitch...
Ukiingia bila kutazama chini lazima uleteleze maana chini kunakuwa kumetapakaa mabao ya raia...
Mkuu Invisible unanifurahisha lakini ndio ukweli wenyewe. Disco likipigwa na mademu jamaa wanapagawa wiki moja kabla.
Nakumbuka kuna siku ilipikwa nyama ,viongozi wa chakula kama kawaida wakagawana nyama nyingi kumbe ile nyama ilikuwa imeharibika
Jamaa waliharisha ile mbaya nakumbuka HP alibebwa juu juu kuwahishwa hospitali
Mmh kama st magret jamani,ingekua ina had fm 6 ningesema ulikua unasoma pale,jamani usipokua na nguvu unadumbukizwa kwenye sufuria,yani wapishi hawapati kazi ya kukwangua ukoko,nakumbuka watu walikua na jezi za kupigania ukoko,,yanii daaa hahaa
Hahahaha umenikumbusha babu swai