Crazy things you did in secondary school

Crazy things you did in secondary school

Hahaha...mkuu nyeto ilikuwa inafanyiwa mabafu ya Oldonyo upande ule wa barabara ya kwenda pitch...

Ukiingia bila kutazama chini lazima uleteleze maana chini kunakuwa kumetapakaa mabao ya raia...

Ha ha ha haaah,,,,,,wazee wa CHAPUTA.
 
Mkuu Invisible unanifurahisha lakini ndio ukweli wenyewe. Disco likipigwa na mademu jamaa wanapagawa wiki moja kabla.

Duu hii ya disco jamani, yaani mtu wiki nzima unafight for kivazi cha maana kili utoke nyari nyari, simply because boys from galanos, tanga teh wanakuja, loooh.Wakati wao wanatoka direct from the class kupiga shule ndo wanakuja.
 
ЪЪ в том случае не
 
Nakumbuka kuna siku ilipikwa nyama ,viongozi wa chakula kama kawaida wakagawana nyama nyingi kumbe ile nyama ilikuwa imeharibika
Jamaa waliharisha ile mbaya nakumbuka HP alibebwa juu juu kuwahishwa hospitali

Hahaha
 
nakumbuka nilikuwa bingwa wakuanzisha migomo hadi nikachukiwa na walimu baada ya kugundua ni mimi ninaefanya hivyo, hiyo ilikuwa A'level.....
 
mi nakumbuka nilipofika 4m3 nilijiwekea malengo ya kutochapwa hadi nipende mimi...sasa kulikuwa na mwalim wa kiume pale mwenge sec alikuwa ni kijana,bac nikifanikiwa kupitisha miez 3 bila kuchapwa nilikuwa nikitoka na fimbo nyumban kisha nampelekea yule ticha halafu nalala chini mwenyewe naye ananichapa kama 3 hv kisha naondoka na fimbo yangu huyo...duh
 
Mmh kama st magret jamani,ingekua ina had fm 6 ningesema ulikua unasoma pale,jamani usipokua na nguvu unadumbukizwa kwenye sufuria,yani wapishi hawapati kazi ya kukwangua ukoko,nakumbuka watu walikua na jezi za kupigania ukoko,,yanii daaa hahaa

Hahahaha umenikumbusha babu swai
 
Marangu sec jamani ni hatari siku ya wali kula mtu atajua maana kengele ikipigwa ni ushahudi tu kila mtu yupo kwa foleni. Zaidi ni st magret wakija kwenye disco marangu sec mmmmmmmm
 
hiyo ilikuwa 2004 pale mwenge sec sgd,walikuwepo maticha enzi hizo m1anajiita mwana wa adam,donge,horse power mayombo,muna,siku za disco ilikuwa ni shiddah madem zetu na wao walikua wanawamendea so baada ya debe wakiwanasa mmekumbatiana pondini kazi mnayo,sitaki kukumbuka maiko barantanda walivyokuwa wanamuhenyesha.
 
Back
Top Bottom