CRBD Simbamking acheni usumbufu huu

CRBD Simbamking acheni usumbufu huu

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Wakuu heshima mbele.

Nimetoa elfu 40 kwa sim banking kuja kwenye lain yangu ya simu ili niweze kulipia huduma fulan ambayo nimeshaitumia na ndio nataka kuondoka.

Pesa imekatwa kwenye CRDB account ila kwenye simu (airtel money) haisomi.

Nawapigia customer care, ananiambie ni kweli ila pesa utapata baada ya atleast 6hrs. Namwambia natakiwa nilipe hudumu niondoke anasema itabido usibiri hapo mpaka transaction isome(atleast masaa6).

Hii nchi ina kampuni za kipuuzi sana yaani, kwahiyo kama nipo sheli nisubiri 6 hours ndio muamala usome niondoke? Hudumu ya sim banking mara nyingi tunaitumia kwa emergence, kuwanin makini sana mtu apoamua kufanya muamla kwa simbankng. Acheni majibu ya kimadenge pale mnapoulizwa maswali seroius!


#Hilinalomkalitizame.
 
Ni bora basi wanapoona mtandao wao una shida, wasikate salio ili atleast uweze kucashout kwa mfumo mwingine.


Wanachokuambia usubir "6 good hours" pes yako itakuja
 
Kuna siku nusu nidhalilike mahali, nilitumia huduma ya watu bila kua na wasiwasi maana Wana lipa namba na nilikua na cash ya kutosha m pesa, kilichotokea sitokaa niamini online transactions kabisa hapa tz
 
Kuna siku nusu nidhalilike mahali, nilitumia huduma ya watu bila kua na wasiwasi maana Wana lipa namba na nilikua na cash ya kutosha m pesa, kilichotokea sitokaa niamini online transactions kabisa hapa tz
Mkuu hii kitu ni aibu
 
Back
Top Bottom