M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
CRDB majority shares holder ndie hutafuta MD ..Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB NI vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. Mwenye akili anaweza kunusa yajayo Wizara ya Fedha. Dr wa Uchumi tafuta cha kufanya baada ya Oktoba 2025. Kigumu Chama Makini Kigumu
Kwani Sir G kuna ugomvi anataka kuamua?Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB NI vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. Mwenye akili anaweza kunusa yajayo Wizara ya Fedha. Dr wa Uchumi tafuta cha kufanya baada ya Oktoba 2025. Kigumu Chama Makini Kigumu
Hata akipisha Mwigulu atakuwa amekaa hapo Kwa miaka 4 ambayo inatosha sana kuacha legacy hususani kwenye makusanyo ya Kodi,kusimamia uchumi na kuhakikisha pesa zinakamilosha miradi mikubwa.Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB NI vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. Mwenye akili anaweza kunusa yajayo Wizara ya Fedha. Dr wa Uchumi tafuta cha kufanya baada ya Oktoba 2025. Kigumu Chama Makini Kigumu
Nikisema hii comment ina chembechembe za uchawa,nitakua nimekosea mkuu?Hata akipisha Mwigulu atakuwa amekaa hapo Kwa miaka 4 ambayo inatosha sana kuacha legacy hususani kwenye makusanyo ya Kodi,kusimamia uchumi na kuhakikisha pesa zinakamilosha miradi mikubwa.
Nadhani inatosha
Uko sawaNikisema hii comment ina chembechembe za uchawa,nitakua nimekosea mkuu?
Sasa wamuache Ruth Zaipuna wa CRSB waje kwa Majid?CRDB majority shares holder ndie hutafuta MD ..
..na sio Govt ni Danida hivyo hata boss akiwa nani MoF ....haina uhusiano na CRDB.....
Yawezekana pia ni maongezi yao tu....na hapo Govt wapo NMB pia wana share ingawa hawana say mwisho kuamua nani awe MD.....yote yawezekanaa....bora awe MtzSasa wamuache Ruth Zaipuna wa CRSB waje kwa Majid?
Ukimlinganisha huyu na Kimei ,Kimei was a head of time Guru kabisa ,huyu ni wa kawaida sana ,kama Kimei alikosa wizara huyu ni nani ?labda waangalie uchawa sio weredi kwenye secta ya kifedha1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB NI vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. Fuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu mfano Infrastructure bond, never miss events za kitaifa n.k
2. Mwenye uelewa wa Kisiasa anaweza kunusa yajayo pale Wizara ya Fedha [CV ya MN inambeba haswa - corporate exposure, Kada na mengineyo] Wabunge wa majimbo ya Kagera - Nkenge etc ni wakati wa kupisha kiti.
3. Singida All Stars/Esta express aka Dr first class wa Uchumi tafuta cha kufanya baada ya Oktoba 2025.
3. Kigumu Chama Makini Kigumu.
NB: Hakika Wizara ya Fedha inaenda kupata JEMBE.
Utajua mwenyewe jina limeshapita kote lipo mezani tayariUkimlinganisha huyu na Kimei ,Kimei was a head of time Guru kabisa ,huyu ni wa kawaida sana ,kama Kimei alikosa wizara huyu ni nani ?labda waangalie uchawa sio weredi kwenye secta ya kifedha
Nafikiri haujui nchi hizi zetu zinavyoendeshwa, ni sawa kumsifia fundi wa ujenzi ukamuacha msimamizi, bila msimamizi kukaa kidete hicho unachokiona kizuri hakiwezi kuwepo.Hata akipisha Mwigulu atakuwa amekaa hapo Kwa miaka 4 ambayo inatosha sana kuacha legacy hususani kwenye makusanyo ya Kodi,kusimamia uchumi na kuhakikisha pesa zinakamilosha miradi mikubwa.
Nadhani inatosha
Msimamizi Bado yupo ila anataka kubadili fundi,so tunampa credit fundi anaeondoka.Nafikiri haujui nchi hizi zetu zinavyoendeshwa, ni sawa kumsifia fundi wa ujenzi ukamuacha msimamizi, bila msimamizi kukaa kidete hicho unachokiona kizuri hakiwezi kuwepo.
Danida sio washauza shares zao kitambo kama sikosei 2010?CRDB majority shares holder ndie hutafuta MD ..
..na sio Govt ni Danida hivyo hata boss akiwa nani MoF ....haina uhusiano na CRDB.....
2018 Jiwe alitaka kupora pesa zao...alikujacwaziri from Danmark hapa....wakati endorse huyumD sasawalikuja pia...Danida sio washauza shares zao kitambo kama sikosei 2010?