Tetesi: CRDB anzeni mchakato wa Boss mpya pia Dr Madelu jiandae kisaikolojia!

Tetesi: CRDB anzeni mchakato wa Boss mpya pia Dr Madelu jiandae kisaikolojia!

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025.

2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo kifuatacho kuna ingizo jipya pale HAZINA/Moyo wa nchi ulipo.

3. Wizara ya Fedha inataka mweledi na mwenye uzoefu katika sekta Vs mchumi uchwara toka Tinde hakika [CV ya MN inambeba haswa - corporate exposure, Kada na mengineyo] Wabunge wa majimbo ya Kagera - Nkenge etc ni wakati wa kupisha kiti.

4. Singida All Stars/Esta express aka Dr first class wa Uchumi tafuta cha kufanya baada ya Oktoba 2025.

5. Kigumu Chama Makini Kigumu.

NB: Hakika Wizara ya Fedha inaenda kupata JEMBE.
 
Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB NI vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. Mwenye akili anaweza kunusa yajayo Wizara ya Fedha. Dr wa Uchumi tafuta cha kufanya baada ya Oktoba 2025. Kigumu Chama Makini Kigumu
CRDB majority shares holder ndie hutafuta MD ..
..na sio Govt ni Danida hivyo hata boss akiwa nani MoF ....haina uhusiano na CRDB.....
 
Hata akipisha Mwigulu atakuwa amekaa hapo Kwa miaka 4 ambayo inatosha sana kuacha legacy hususani kwenye makusanyo ya Kodi,kusimamia uchumi na kuhakikisha pesa zinakamilosha miradi mikubwa.

Nadhani inatosha
 
1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB NI vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. Fuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu mfano Infrastructure bond, never miss events za kitaifa n.k

2. Mwenye uelewa wa Kisiasa anaweza kunusa yajayo pale Wizara ya Fedha [CV ya MN inambeba haswa - corporate exposure, Kada na mengineyo] Wabunge wa majimbo ya Kagera - Nkenge etc ni wakati wa kupisha kiti.

3. Singida All Stars/Esta express aka Dr first class wa Uchumi tafuta cha kufanya baada ya Oktoba 2025.

3. Kigumu Chama Makini Kigumu.

NB: Hakika Wizara ya Fedha inaenda kupata JEMBE.
Ukimlinganisha huyu na Kimei ,Kimei was a head of time Guru kabisa ,huyu ni wa kawaida sana ,kama Kimei alikosa wizara huyu ni nani ?labda waangalie uchawa sio weredi kwenye secta ya kifedha
 
Ukimlinganisha huyu na Kimei ,Kimei was a head of time Guru kabisa ,huyu ni wa kawaida sana ,kama Kimei alikosa wizara huyu ni nani ?labda waangalie uchawa sio weredi kwenye secta ya kifedha
Utajua mwenyewe jina limeshapita kote lipo mezani tayari
 
Hata akipisha Mwigulu atakuwa amekaa hapo Kwa miaka 4 ambayo inatosha sana kuacha legacy hususani kwenye makusanyo ya Kodi,kusimamia uchumi na kuhakikisha pesa zinakamilosha miradi mikubwa.

Nadhani inatosha
Nafikiri haujui nchi hizi zetu zinavyoendeshwa, ni sawa kumsifia fundi wa ujenzi ukamuacha msimamizi, bila msimamizi kukaa kidete hicho unachokiona kizuri hakiwezi kuwepo.
 
Nafikiri haujui nchi hizi zetu zinavyoendeshwa, ni sawa kumsifia fundi wa ujenzi ukamuacha msimamizi, bila msimamizi kukaa kidete hicho unachokiona kizuri hakiwezi kuwepo.
Msimamizi Bado yupo ila anataka kubadili fundi,so tunampa credit fundi anaeondoka.

Msimamizi akikabidhi Jengo atapewa sifa zake kemkem.
 
CRDB majority shares holder ndie hutafuta MD ..
..na sio Govt ni Danida hivyo hata boss akiwa nani MoF ....haina uhusiano na CRDB.....
Danida sio washauza shares zao kitambo kama sikosei 2010?
 
Danida sio washauza shares zao kitambo kama sikosei 2010?
2018 Jiwe alitaka kupora pesa zao...alikujacwaziri from Danmark hapa....wakati endorse huyumD sasawalikuja pia...
As of March 31, 2024, the largest shareholders of CRDB Bank were:

  • Danida Investment Fund: 21% of shares
  • PSSSF Pension Fund: 13.3% of shares
  • National Social Security Fund (Uganda): 7.5% of shares
Other shareholders of CRDB Bank include:

  • Abbas Export Limited
    • Banque Pictet and CIE SA A/C Patrick Shegg
    • Change Global Frontier Market, PL Fund-CGPA
    • Zanzibar Social Security Fund
    • Wegen Kilimanjaro Frontier Africa Fund
    • Hans Aingaya Macha
    • National Health Insurance Fund - Tanzania
    • Duet Africa Opportunities Master Fund IC
    • CMG Investment Limited
    • Kimberlite Frontier Master Africa Fund LP
CRDB Bank is Tanzania's largest bank by assets.
 
Back
Top Bottom