winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 379
- 603
Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja.
Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha kutuhudumia vibaya namna hii. HAPANA HAIWEZEKANI
Sasa mbaya zaidi umkute dirishani amekaa mdada ndio utajuta kuingia ndani ya benki.
Sim banking
Wakala
Hivi vitu visiwafanye muwatese wateja wenu tena wengi wao wana tija.
Acheni kuwalazimisha watu watumie huduma ambazo wakati mwingine hazikidhi matakwa.
Mtu unahitaji huduma zaidi ya 2m unawezaje kutegemea sim banking?
Haya wakala sio benki ni zana ya kurahisisha mihamala tu na wala sio lazima
CRDB IPO SIKU MTABAKI NA WANAHISA TU.