CRDB huduma kwa wateja imekuwa mbovu kulinganisha na benki zote hapa nchini

CRDB huduma kwa wateja imekuwa mbovu kulinganisha na benki zote hapa nchini

winnerian

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
379
Reaction score
603
Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja.

Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha kutuhudumia vibaya namna hii. HAPANA HAIWEZEKANI

Sasa mbaya zaidi umkute dirishani amekaa mdada ndio utajuta kuingia ndani ya benki.

Sim banking
Wakala

Hivi vitu visiwafanye muwatese wateja wenu tena wengi wao wana tija.

Acheni kuwalazimisha watu watumie huduma ambazo wakati mwingine hazikidhi matakwa.

Mtu unahitaji huduma zaidi ya 2m unawezaje kutegemea sim banking?

Haya wakala sio benki ni zana ya kurahisisha mihamala tu na wala sio lazima

CRDB IPO SIKU MTABAKI NA WANAHISA TU.
 
Haswa CRDB taki la Kijitonyama wako hovyo mno, utakuta watu wamejazana bila hata sababu na wafanyakazi wamekaa tu bila hata kujali.
 
Bank imerudi hatua 10 nyuma tangu ipate dereva mkuu mpya.

Huwa nashangaa nini kinasababisha mteja kukaa Bank zaidi ya masaa 2.

Pili, Watumishi wengi wa Bank nchini kuanzia mabosi hadi ngazi ya chini hasa upande wa mikopo na Mortgage wamegeuka kuwa madalali na matapeli wakuu wa mjini.

Ukipeleke Bussiness proposal ya maana ili upewe mkopo, baada ya muda mfupi unaona Wafanyabiashara wa mjini tena wengine wafadhili wa timu kubwa, wamepewa mkopo na wanatekeleza wazo lako. Unakuwa umeibiwa Intellectual property yako na umenyimwa mkopo. wanachofanya ni kukuzungusha tu.

Miongoni mwa sababu ya hali hiyo inaweza kuwa Madereva wakuu kujaza mademu zao na kuwafanya kuwa watendaji wakuu, na rushwa ya ngono. Pia wameshindwa kuwekeza katika HR ikiwemo kuwapa training nje ya nchi. na BoTi kuwa sehemu ya tatizo. BoTi wameshindwa kabisa kuwasimamia. Pia Wanaojua wamekuwa wasaidizi na wasiojua wamekuwa directors.

Sababu nyingine ni siasa kuingilia kazi za kitaalamu. Unamkuta CEO wa Bank anafanya maamuzi ya ajabu kwa misingi au utashi wa kisiasa au kujiweka karibu na wanasiasa.

Moja ya maeneo ya kuogopa kama ukoma Ukiwa investor hasa kutoka nje ni kuwapatia taarifa na idea za kutoboa Bankers wa Bongo.

Kosa kubwa lilifanyika ktk hiyo taasisi ni kuweka dereva mkuu ambaye upstair kopo, Lobbyists na mla rushwa za aina zote. Garbage in, garbage out. sijui watatokaje!
 
Back
Top Bottom