Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
Benki ya CRDB imekutwa na kitu gani kwenye idara yao ya mikopo? Unaomba mkopo inapita mwezi au zaidi hawaweki pesa! Ukifuatilia ni majibu ya kupigana kanzu.
Kama shida ni mikopo kuwa centralized rudisheni branch ndo wawe wanalipa. Mna riba nafuu lakini inaboa kufuatilia mkopo for long time. Mikopo mingine ni ya matatizo ya dharura. Btw kama mmefilisika semeni.
Asante.