witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Sio kweli mkuu...hakuna kitu kama hichoKama wewe mwajiriwa serikalini na bado unaona mapicha picha nenda kaongee na mkuu wako wa kazi kunaa jambo hapo mkuu wako kasema hufai kupewa mkopo hayo mambo hufanyika kimya kimya kati ya bank na mkuu wako eneo lako la kazi