CRDB kuna shida gani? Mnachelewesha sana kutoa mikopo

CRDB kuna shida gani? Mnachelewesha sana kutoa mikopo

Acha uongo bhana, CRDB wana shida na loan officer mwenye akili timamu anasema tu kwa sasa nchi nzima mzigo hautoki we uko hapa unapiga uongo unless we ni junior officer huelewi lolote huko ndani
Si bora hata awe junior officer!?hamna kitu hapo.
 
Taasisi za umma huanza kufa mdogo mdogo hivi hivi.Hali hii hakuna ambaye angetarajia itokee ktk Benki inayoheshimika kama CRDB. Inashangaza sana.
 
Sijui Wana shida gani. Ningekua na namna nami ningefanya hivyo shida mshahara wangu unapitia kwao mpka kuuhamisha ni shunguli na benki nyingine watataka salary slip ya miezi 3
Ni rahisi sana kubadili account ya mshahara na hata Bank unaweza kuhamia mwezi huohuo ukapata mkopo. Kama Bank inanunua madeni yako kwa taasisi zingine kwa nini wakucheleweshee mkopo? Mwambie mwajiri wako akubadilishie a/c kabla ya "change note" ya mwezi ujao uone kama haukupata mkopo mwezi huo huo (vigezo na masharti kuzingatiwa).
 
Kama wewe mwajiriwa serikalini na bado unaona mapicha picha nenda kaongee na mkuu wako wa kazi kunaa jambo hapo mkuu wako kasema hufai kupewa mkopo hayo mambo hufanyika kimya kimya kati ya bank na mkuu wako eneo lako la kazi
Acheni kupiga ramli

Kiuhalisia Kuna Tatizo Fulani kwenye mikopo kwa CRDB Bank binafsi Nina mwezi wa pili sasa kila nikienda naambiwa fomu zilishatumwa makao makuu tusubirie.

Na sio mimi tu Nina jamaa zangu kibao mpaka wameamua kukimbilia NMB
 
Acheni kupiga ramli
Kiuhalisia Kuna Tatizo Fulani kwenye mikopo kwa CRDB Bank binafsi Nina mwezi wa pili sasa kila nikienda naambiwa fomu zilishatumwa makao makuu tusubirie.
Na sio mimi tu Nina jamaa zangu kibao mpk wameamua kukimbilia NMB
Tatizo gani Sasa siwakwambie
 
Acheni kupiga ramli
Kiuhalisia Kuna Tatizo Fulani kwenye mikopo kwa CRDB Bank binafsi Nina mwezi wa pili sasa kila nikienda naambiwa fomu zilishatumwa makao makuu tusubirie.
Na sio mimi tu Nina jamaa zangu kibao mpk wameamua kukimbilia NMB
Na wewe kimbilia huko NMB jombaa mbona rahisi tu,kwani crdb wapewa bila riba
 
Na ww kimbilia huko NMB jombaa mbona rahisi tu,kwani crdb wapewa bila riba

Kama ni mtumishi sio jambo rahisi maana utatakiwa kuhamishia huko mshahara wako huo mlolongo wake si mchezo tena kama una shida ndo hutoboi
 
Sijui Wana shida gani. Ningekua na namna nami ningefanya hivyo shida mshahara wangu unapitia kwao mpka kuuhamisha ni shunguli na benki nyingine watataka salary slip ya miezi 3
Interest rate inarange ngapi kwa staff CRDB?

Fungua account bank nyingine mfano Stanbic riba kwa 12.5%... salary slip tatu na confirmation letter umemaliza mchezo...piga chini hao
 
Acha uongo bhana, CRDB wana shida na loan officer mwenye akili timamu anasema tu kwa sasa nchi nzima mzigo hautoki we uko hapa unapiga uongo unless we ni junior officer huelewi lolote huko ndani
Labda CRDB lkn bank zingine mikopo kama kawa
 
Back
Top Bottom