Mimi binafsi niliondoka na pesa ndani ya masaa 72.hakuna kitu kama hicho usidnaganye watu
Speaking from experience.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi binafsi niliondoka na pesa ndani ya masaa 72.hakuna kitu kama hicho usidnaganye watu
Umekidhi viwango vya mkopo utakao?
Kama ukiwaridhisha kila kipengele mkopo ni massaa 72
Mimi sina ham nao nilifatilia pale Mliman city mkopo nikazungushwa 2month, nikaomba doc niende kwingine bado wakakatalia nilikiwasha pale wakanipa nikaenda nmb week tu nimewekewa hela.
Wajinga sana kuna mdada pale M/city ndio afisa mikopo anaitwa Brigita ana roho mbaya na anajibu shombo sana wateja utadhan bank yake( bila shaka atakuwa tasa yule au kazalishwa katelekezwa sio kwa roho ile).
Inategemea na wajiri wako jombaa kama hajaidhinisha makato hatuezi kufanya chochoteNimekidhi vigezo. Nimejaza fomu zao likamilifu na wamezipokea.
Ina
Inategemea na wajiri wako jombaa kama hajaidhinisha makato hatuezi kufanya chochote
Man from matema
Tawi gani hilo?Benki ya CRDB imekutwa na kitu gani kwenye idara yao ya mikopo? Unaomba mkopo inapita mwezi au zaidi hawaweki pesa! Ukifuatilia ni majibu ya kupigana kanzu.
Kama shida ni mikopo kuwa centralized rudisheni branch ndo wawe wanalipa. Mna riba nafuu lakini inaboa kufuatilia mkopo for long time. Mikopo mingine ni ya matatizo ya dharura. Btw kama mmefilisika semeni.
Asante.
Walishatoa tangazo la kusitisha mikopo?Acha uongo bhana, CRDB wana shida na loan officer mwenye akili timamu anasema tu kwa sasa nchi nzima mzigo hautoki we uko hapa unapiga uongo unless we ni junior officer huelewi lolote huko ndani
Walishatoa tangazo la kusitisha mikopo?
Kama wewe mwajiriwa serikalini na bado unaona mapicha picha nenda kaongee na mkuu wako wa kazi kunaa jambo hapo mkuu wako kasema hufai kupewa mkopo hayo mambo hufanyika kimya kimya kati ya bank na mkuu wako eneo lako la kaziNimekidhi vigezo. Nimejaza fomu zao likamilifu na wamezipokea.
😂😂😂😂Kama wewe mwajiriwa serikalini na bado unaona mapicha picha nenda kaongee na mkuu wako wa kazi kunaa jambo hapo mkuu wako kasema hufai kupewa mkopo hayo mambo hufanyika kimya kimya kati ya bank na mkuu wako eneo lako la kazi
Mimi waliniambia nikisharudisha form ndani ya siku tatu napata mzigo.Hata mimi hawa CRDB wamenishangaza sana.Nina wiki ya pili sasa tangu niwasilishe kwao fomu zangu za mkopo lakini mpaka muda huu hamna kitu. Mimi nilitegemea kuwa watakuwa fasta kutoa hela kama walivyo niambia wakati naenda kuchukua fomu za mkopo lakini wapi. Ikifika Jmosi ya wiki hii bila pesa kutoka walahi naenda kuchukua fomu zangu, sitaki ujinga mie!
Kuna mtu kapata a week ago. Na baada ya mwajiri kupitisha makato alipata hela siku hiyo hiyo. Inategemea na branch tu.Acha uongo bhana, CRDB wana shida na loan officer mwenye akili timamu anasema tu kwa sasa nchi nzima mzigo hautoki we uko hapa unapiga uongo unless we ni junior officer huelewi lolote huko ndani
Sio kweli labda ukanda huo kuna mtu kapata April mwishoni na meingine Ijumaa juzi kawekewa.Mikopo imesitishwa nchi nzima mkuu, usimlaumu huyo ni vile alikuwa hakwambii ukweli
Usitetee kitu usicho kijua Kama hajakidhi vigezo angekuja kulalamika hapa!?CRDB Wana shida,siyo Kama walivyokuwa wanaharibu image yao waliyoijenga kwa gharama.Umekidhi viwango vya mkopo utakao?
Kama ukiwaridhisha kila kipengele mkopo ni massaa 72
Siyo Mlimani city tu hata Kibaha wako hivyohivyo, unaenda kwa upole wanakujibu maandazi, Mara system imecollapse, Mara subirini sikukuu ziishe, kweli bank kuweka mkopo uliopitia process zote unasubiria sikukuu ziishe!?Mimi sina ham nao nilifatilia pale Mliman city mkopo nikazungushwa 2month, nikaomba doc niende kwingine bado wakakatalia nilikiwasha pale wakanipa nikaenda nmb week tu nimewekewa hela.
Wajinga sana kuna mdada pale M/city ndio afisa mikopo anaitwa Brigita ana roho mbaya na anajibu shombo sana wateja utadhan bank yake( bila shaka atakuwa tasa yule au kazalishwa katelekezwa sio kwa roho ile).