Umekidhi viwango vya mkopo utakao?Benki ya CRDB imekutwa na kitu gani kwenye idara yao ya mikopo? Unaomba mkopo inapita mwezi au zaidi hawaweki pesa! Ukifuatilia ni majibu ya kupigana kanzu. Kama shida ni mikopo kuwa centralized rudisheni branch ndo wawe wanalipa. Mna riba nafuu lakini inaboa kufuatilia mkopo for long time. Mikopo mingine ni ya matatizo ya dharura. Btw kama mmefilisika semeni. Asante.
Eti nini?👇Benki ya CRDB imekutwa na kitu gani kwenye idara yao ya mikopo? Unaomba mkopo inapita mwezi au zaidi hawaweki pesa! Ukifuatilia ni majibu ya kupigana kanzu.
Kama shida ni mikopo kuwa centralized rudisheni branch ndo wawe wanalipa. Mna riba nafuu lakini inaboa kufuatilia mkopo for long time. Mikopo mingine ni ya matatizo ya dharura. Btw kama mmefilisika semeni.
Asante.
Mkuu shukuru wanachelewesha mikopo ni msaada mkubwa sana kwa wanaokopa kwasababu wana muda wa kutafakar kabla ya kukopa.Benki ya CRDB imekutwa na kitu gani kwenye idara yao ya mikopo? Unaomba mkopo inapita mwezi au zaidi hawaweki pesa! Ukifuatilia ni majibu ya kupigana kanzu.
Kama shida ni mikopo kuwa centralized rudisheni branch ndo wawe wanalipa. Mna riba nafuu lakini inaboa kufuatilia mkopo for long time. Mikopo mingine ni ya matatizo ya dharura. Btw kama mmefilisika semeni.
Asante.
Kaa mkao wa kula. Tena ungeanza kutafuta simu ya MO na ya Rostam wawe wanakupa ushauri jinsi ya kuwekeza. Simu za mademu Anza kuzi block.Nimekidhi vigezo. Nimejaza fomu zao likamilifu na wamezipokea.
Daa mimi, nilishajizoea zangu Maboto microfinanc nabeba chang siku hiyohyo na kusainisha form ni wao, mi nasubili changu chapu kwa ac yng nasepa hahaha, wako fast balaaaa.Benki ya CRDB imekutwa na kitu gani kwenye idara yao ya mikopo? Unaomba mkopo inapita mwezi au zaidi hawaweki pesa! Ukifuatilia ni majibu ya kupigana kanzu.
Kama shida ni mikopo kuwa centralized rudisheni branch ndo wawe wanalipa. Mna riba nafuu lakini inaboa kufuatilia mkopo for long time. Mikopo mingine ni ya matatizo ya dharura. Btw kama mmefilisika semeni.
Asante.
Umemaliza kila kitu mkuuMimi sina ham nao nilifatilia pale Mliman city mkopo nikazungushwa 2month, nikaomba doc niende kwingine bado wakakatalia nilikiwasha pale wakanipa nikaenda nmb week tu nimewekewa hela.
Wajinga sana kuna mdada pale M/city ndio afisa mikopo anaitwa Brigita ana roho mbaya na anajibu shombo sana wateja utadhan bank yake( bila shaka atakuwa tasa yule au kazalishwa katelekezwa sio kwa roho ile).
hakuna kitu kama hicho usidanganye watuUmekidhi viwango vya mkopo utakao?
Kama ukiwaridhisha kila kipengele mkopo ni massaa 72
Haaaahaaa mkuu umetema nyongo yako yaani kama nakuona ulivyokuwa unawachachafyaMimi sina ham nao nilifatilia pale Mliman city mkopo nikazungushwa 2month, nikaomba doc niende kwingine bado wakakatalia nilikiwasha pale wakanipa nikaenda nmb week tu nimewekewa hela.