Si bora hata awe junior officer!?hamna kitu hapo.Acha uongo bhana, CRDB wana shida na loan officer mwenye akili timamu anasema tu kwa sasa nchi nzima mzigo hautoki we uko hapa unapiga uongo unless we ni junior officer huelewi lolote huko ndani
Watu wote wanaolalamika hawajapewa mkopo licha ya kukamilisha vigezo unaona comments zao au umeona yangu tu?Sio kweli labda ukanda huo kuna mtu kapata April mwishoni na meingine Ijumaa juzi kawekewa.
Ni rahisi sana kubadili account ya mshahara na hata Bank unaweza kuhamia mwezi huohuo ukapata mkopo. Kama Bank inanunua madeni yako kwa taasisi zingine kwa nini wakucheleweshee mkopo? Mwambie mwajiri wako akubadilishie a/c kabla ya "change note" ya mwezi ujao uone kama haukupata mkopo mwezi huo huo (vigezo na masharti kuzingatiwa).Sijui Wana shida gani. Ningekua na namna nami ningefanya hivyo shida mshahara wangu unapitia kwao mpka kuuhamisha ni shunguli na benki nyingine watataka salary slip ya miezi 3
Waseme ukweli sasa sio wanazungusha tu. Mi wiki ya tatu sasa hii wananizungusha. Next week naenda kuchukua form zangu niende bank nyingine. Wanazingua.Mikopo imesitishwa nchi nzima mkuu, usimlaumu huyo ni vile alikuwa hakwambii ukweli
Acheni kupiga ramliKama wewe mwajiriwa serikalini na bado unaona mapicha picha nenda kaongee na mkuu wako wa kazi kunaa jambo hapo mkuu wako kasema hufai kupewa mkopo hayo mambo hufanyika kimya kimya kati ya bank na mkuu wako eneo lako la kazi
Tatizo gani Sasa siwakwambieAcheni kupiga ramli
Kiuhalisia Kuna Tatizo Fulani kwenye mikopo kwa CRDB Bank binafsi Nina mwezi wa pili sasa kila nikienda naambiwa fomu zilishatumwa makao makuu tusubirie.
Na sio mimi tu Nina jamaa zangu kibao mpk wameamua kukimbilia NMB
Na wewe kimbilia huko NMB jombaa mbona rahisi tu,kwani crdb wapewa bila ribaAcheni kupiga ramli
Kiuhalisia Kuna Tatizo Fulani kwenye mikopo kwa CRDB Bank binafsi Nina mwezi wa pili sasa kila nikienda naambiwa fomu zilishatumwa makao makuu tusubirie.
Na sio mimi tu Nina jamaa zangu kibao mpk wameamua kukimbilia NMB
Na ww kimbilia huko NMB jombaa mbona rahisi tu,kwani crdb wapewa bila riba
What a silly comment[emoji3][emoji23]Umekidhi viwango vya mkopo utakao?
Kama ukiwaridhisha kila kipengele mkopo ni massaa 72
Interest rate inarange ngapi kwa staff CRDB?Sijui Wana shida gani. Ningekua na namna nami ningefanya hivyo shida mshahara wangu unapitia kwao mpka kuuhamisha ni shunguli na benki nyingine watataka salary slip ya miezi 3
Labda CRDB lkn bank zingine mikopo kama kawaAcha uongo bhana, CRDB wana shida na loan officer mwenye akili timamu anasema tu kwa sasa nchi nzima mzigo hautoki we uko hapa unapiga uongo unless we ni junior officer huelewi lolote huko ndani