CRDB kuna shida gani? Mnachelewesha sana kutoa mikopo

Kama wewe mwajiriwa serikalini na bado unaona mapicha picha nenda kaongee na mkuu wako wa kazi kunaa jambo hapo mkuu wako kasema hufai kupewa mkopo hayo mambo hufanyika kimya kimya kati ya bank na mkuu wako eneo lako la kazi
Sio kweli mkuu...hakuna kitu kama hicho
 
Riba yao ni ngapi?
 
Siyo Mlimani city tu hata Kibaha wako hivyohivyo, unaenda kwa upole wanakujibu maandazi, Mara system imecollapse, Mara subirini sikukuu ziishe, kweli bank kuweka mkopo uliopitia process zote unasubiria sikukuu ziishe!?
Loan officers wote Wana matatizo...nahisi na rushwa huwa inanunikia mitaa ile ili mambo yako yaende[emoji848]
 
Umemaliza kila kitu...
Ugumu sijui uko wapi?
 
Ili ujiongeze kwa afisa mkopo
 
Iko shida kwenye hii benki si bure...
Tangu nimesubmit fomu yangu mwezi wa pili sasa unaisha hamna kitu ni longo longo tu
 
Asking for a friend.
Hivi riba CRDB ni asilimia ngapi kwa sisi wafanyakazi wa serikali tukitaka mikopo ya kununulia baiskeli?
Natanguliza shukrani
 
Naona mkuu umejiandaa
Kuurudisha huo mkopo

Ova
 
siku unaenda kurudisha form ya mkopo NMB hapohapo wanakuambia ngoja ndani ya masaa 24 tukichelewa sanaaa masaa 72. Mimi haijawahi kuvuka masaa 30 mpunga umeingia, bata kidogo na maendeleo kwa sana maisha ndio haya haya
 

Unaposema wana riba nzuri ni kiasi gan hiko cha riba!?$
 
Yule hana hisia aling'olewa kiungo cha hisia.
Msamehe bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…