Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ndugu hujanielewa.Tafuta taarifa yako ya kibenk uwe una angalia mihamala yako kama ina tatizo na makato yame kuwaje kila ukifanya kutoa pesa
Nazani pia ukitoa pesa dirishani au kwenye ATM huwa wana kupa taarifa za makato...
Mpaka uangalie full statement ndo utaona makato yote.Hata kwa wakala ukitoa huoni walichokata
Ndugu hujanielewa.
Nataka nomtumie maza elfu 50 kijijini, ninachotaka waweke kabisa makato yawe wazi kabla ya kumaliza muamala.
Mini statement zipo ila utaomba Mini statement ya muamala ambao hujafanya?
🏧 haziko kila nyumba.Katoe kwenye Atm kisha muwekee kwenye simu
CRDB majizi nambari wani wafanyakazi wanaoingiziwa mshahara kupitia akaunti wanapigwa balaaKatoe kwenye Atm kisha muwekee kwenye simu