Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Haifanyihivi app yao imekubali kufanya kazi?
Ungetumia sim banking😂😂😂Mimi mzigo ulikuwa unasoma six million ile nashuka kwa basi nikawithdraw kwa atm kadi haifanyi kazi😡😡
Ndiokwahiyo hata huduma za dirishani wamesitisha ama?
Hakuna cha app wala ussd vyote vimelokiwaUngetumia sim banking😂😂😂
Wamefunga matawi yote Tanzaniakwahiyo hata huduma za dirishani wamesitisha ama?
kwahiyo benki zimefungwa hahahaNdio
Inasoma ngapi??Mie Hadi saizi bado inasoma ila nikijaribu kutranfer wananiambia huduma haipatikan mpaka tarehe 8 September
Hahaha. Hata ikikubali usitoe utaingia matatani bureMie Hadi saizi kwenye App bado inasoma nina hela ambayo nilishatoa yote Asubuhi ila nikijaribu kutranfer wananiambia huduma haipatikan mpaka tarehe 8 September
Hahha,.Taarifa ilikuwa wazi tokea alhamis kwamba leo mpk jpl hakuna huduma.
Au ndugu ndio umetoka jela jioni hii?
Hahah,. Naijua hiyooHahaha. Hata ikikubali usitoe utaingia matatani bure