mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Ndio ATM, app haifanyi kaziUmetoa kwenye ATM?
Ndio ATM, app haifanyi kaziUmetoa kwenye ATM?
Mi card ilimezwaMimi mzigo ulikuwa unasoma six million ile nashuka kwa basi nikawithdraw kwa atm kadi haifanyi kazi😡😡
Mi kuna kipindi wameshawahi kuniwekea 1 billion baadae wakaichomoaMi Kuna siku tigo pesa walijichanganya nilipiga pesa ndefu sa hivi mwaka umepita hawajanitafuta. Ila nimejipanga wakinicheki nitalipa
Nenda card ikamezweWeee sema kweli??, mbona kama natamani niende Kwanza tena ATM😂😂
Aiseee one b si mchezoMi kuna kipindi wameshawahi kuniwekea 1 billion baadae wakaichomoa
Jana ilimezwa?Mi card ilimezwa
NdioJana ilimezwa?
Magu alisema hivi"UKILA HELA YA SERIKALI ITAKUTOKEA SEHEMU YOYOTE ILE ILIYO WAZI YA MWILI WAKO"😅Ukipenda kula sharrtiuliwe
Magu alinikumbusha akiwaapisha ma rc nawaambia mkilahela ya serikali nkakutambuaaa utaitapikaaaaaa yaan
Hihiihiiiii tokasikuhioo naogopasanavyabure
Yah na niligundua baada ya kuuliza salio,maana iliingia kimyakimya na ndo kosa nililofanya baada ya hapo wakazirudishaAiseee one b si mchezo
kwahiyo hata huduma za dirishani wamesitisha ama?
Hapana mkuu,wanaboresha mifumo yao.Ukiona hovyo jua kuna watu wanafanya jinai kwa mujibu wa sheria. Kuna mpunga unachotwa mahali.
Hapo mpaka jtatu ndo kadi utaipataJana ilimezwa?
Kama ni mtandao wa CRDB uko chini/haufanyi kazi kwa wakati huo, basi hakuna mahali utaweza itumia hiyo kadi, mawasiliano hakuna.wakuu hivi Visa Mastercard ya Crdb inaweza fanya kazi nje ya nchi mfano nipo Nairobi?
Au hili tatizo ni ndani na nje ya nchi..
Sio kila mtu anashinda anazurula na simu kama wewe, hata hivyo sipo tanzania wife ndo alikua analalamika kuwa mtandao unasumbuaView attachment 3466432
Sio kwamba nakusimanga, ila watu kama wewe huwa hamkosekani kwenye jamii!
😂😂😂😂Nenda card ikamezwe