Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Ukiona hovyo jua kuna watu wanafanya jinai kwa mujibu wa sheria. Kuna mpunga unachotwa mahali.
Mi Kuna siku tigo pesa walijichanganya nilipiga pesa ndefu sa hivi mwaka umepita hawajanitafuta. Ila nimejipanga wakinicheki nitalipaHahah,. Naijua hiyoo
Madeni yakujitakia
Ingenipata mimi hiyo na line ningeacha Tu wanifungie wakitaka ila nisingelipaMi Kuna siku tigo pesa walijichanganya nilipiga pesa ndefu sa hivi mwaka umepita hawajanitafuta. Ila nimejipanga wakinicheki nitalipa
Walitangaza na ni siku tatu mfululizo watakuwa offNadhani ma IT wa CRDB Leo ndio siku ambayo wameona ugumu wa ajira yao.
Asubuhi leo watu wameamka mamilionea ghafla jamaa wakachomoa betri kwa kukata baadhi ya huduma.
Mimi hela nimepita nayo about 6m na line bado ninayoIngenipata mimi hiyo na line ningeacha Tu wanifungie wakitaka ila nisingelipa
Subirii utatoa tenayoteeMie Hadi saizi kwenye App bado inasoma nina hela ambayo nilishatoa yote Asubuhi ila nikijaribu kutranfer wananiambia huduma haipatikan mpaka tarehe 8 September
AiseeUkiona hovyo jua kuna watu wanafanya jinai kwa mujibu wa sheria. Kuna mpunga unachotwa mahali.
UtaitapkaMimi hela nimepita nayo about 6m na line bado ninayo
Weee sema kweli??, mbona kama natamani niende Kwanza tena ATM😂😂Subirii utatoa tenayotee
Hiyo nyingi aisee,Mimi hela nimepita nayo about 6m na line bado ninayo
Mwaka umepita nawasililizia wakija nitalipaUtaitapka
SureAisee
Kuna siku nililipa kitu na card… hela hawakunikata.. nikasema nimekula bingo. Havikumaliza round hela ilikuja kupungua week iliyofata huko.Mie Hadi saizi kwenye App bado inasoma nina hela ambayo nilishatoa yote Asubuhi ila nikijaribu kutranfer wananiambia huduma haipatikan mpaka tarehe 8 September
Nyingi mno. Ilikua natuma hela inagoma wananirudishia , imefanya hivyo mpaka account ikajaa , ilivyofika 6.4m nikaachaHiyo nyingi aisee,
Utafungwaa
Wee ngoja mi niende Kwanza ATm 🏧 tena nipate hata ya kilo na bia mbili. Wakinikata mbele huko sawa tu 😅😅Kuna siku nililipa kitu na card… hela hawakunikata.. nikasema nimekula bingo. Havikumaliza round hela ilikuja kupungua week iliyofata huko.
Heeey!Nyingi mno. Ilikua natuma hela inagoma wananirudishia , imefanya hivyo mpaka account ikajaa , ilivyofika 6.4m nikaacha
DuuhSure
.we unions 6m kuna ambao wamepga 50 m pl u s nyie kama chamboo
kwahiyo benki zimefungwa hahaha
Ukipenda kula sharrtiuliweKuna siku nililipa kitu na card… hela hawakunikata.. nikasema nimekula bingo. Havikumaliza round hela ilikuja kupungua week iliyofata huko.