CRDB Mungu anawaona. Mnatunusisha mahela halafu mnayatoa

Nadhani ma IT wa CRDB Leo ndio siku ambayo wameona ugumu wa ajira yao.
Asubuhi leo watu wameamka mamilionea ghafla jamaa wakachomoa betri kwa kukata baadhi ya huduma.
Walitangaza na ni siku tatu mfululizo watakuwa off

USSR
 
Kuna siku nililipa kitu na card… hela hawakunikata.. nikasema nimekula bingo. Havikumaliza round hela ilikuja kupungua week iliyofata huko.
Ukipenda kula sharrtiuliwe

Magu alinikumbusha akiwaapisha ma rc nawaambia mkilahela ya serikali nkakutambuaaa utaitapikaaaaaa yaan

Hihiihiiiii tokasikuhioo naogopasanavyabure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…