CRDB Mungu anawaona. Mnatunusisha mahela halafu mnayatoa

Ukipenda kula sharrtiuliwe

Magu alinikumbusha akiwaapisha ma rc nawaambia mkilahela ya serikali nkakutambuaaa utaitapikaaaaaa yaan

Hihiihiiiii tokasikuhioo naogopasanavyabure
Magu alisema hivi"UKILA HELA YA SERIKALI ITAKUTOKEA SEHEMU YOYOTE ILE ILIYO WAZI YA MWILI WAKO"πŸ˜…
 
wakuu hivi Visa Mastercard ya Crdb inaweza fanya kazi nje ya nchi mfano nipo Nairobi?
Au hili tatizo ni ndani na nje ya nchi..
Kama ni mtandao wa CRDB uko chini/haufanyi kazi kwa wakati huo, basi hakuna mahali utaweza itumia hiyo kadi, mawasiliano hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…