CRDB na NMB zimelala sana ukifananisha na Equity Bank

CRDB na NMB zimelala sana ukifananisha na Equity Bank

Equity Kuna fee MOJA TU. unapotoa fedha ATM Au Cash Hapo ndio unakatwa... Hakuna sijui monthly fee ,kuona salio etc.. Ukiweka mzigo wako hata uangalie salio lako Mara Mia Miezi na Miezi lipo vile vile
 
kama ni hivyo nitahamie equity chap. CRDB ni majambazi ya kutisha
 
Sijui wanaajiri vyeti feki sikuhizi, unafika unaulizia fomu ya telegraphic transfer, unaambiwa muulize yule mara yule, yaani branch nzima anaejua t/t ni mfanyakazi mmoja tuu, tena nae hajui hata charges zake ni ngapi.
 
1. Kijitanua: kwa East Africa Equity nafikiri ni bank inayoongoza kwa kujitanua. ipo nchi zote za EAC na imeingia kwa nguvu kubwa DRC na inanyemelea kuingia Ethiopia. Hizi zetu zipozipo tu. Nilisikia CRDB wana tawi Burundi, bado lipo.

2. Ufasta wa huduma: Equity ukiwa na namba au kitambulisho cha NIDA unarudi nyumbani una account na ATM card. Picha wanakupiga wenyewe, kila hatua iko fasta. Ukitaka cheque book ni fasta na bei rahisi mno, wanakupigia simu ikitoka.

3. Wahudumu: Kwa kweli wahudumu wa hizi benki zetu wanauzembe sana. Utakuta benki inaproduct mpya lakini ukienda uliza wale watumishi unakuta hawaelewi na wanaanza kuulizanaulizana, sijui hawapewi semina? Ukiona wanatembea harakahara wanaliza viatu unaweza dhani ni watu waelewa. Pia, ni kama wahudumu/maafisa mikopo wa hizi benki zetu hufurahi sana mtu asipotimiza vigezo vya mkopo.

4. Kingine naona Equity wanashirikiana sana na na "mabeberu", Kwenye kujitanua kwa wanashirikiana sana na mashirika ya kifedha kutoka nje.

Ushauri wangu ni kuwa hizi benki zitafute consultants wawasaidie namna ya kujiendesha na kujitanua nje vitu vidogo kama kumpiga mteja picha badala ya kumwambia aje na passport vina impact kubwa sana, mambo yanabadilika.
Equity ndio bank

Kubwa na yenye mtaji kuliko bank zote afrika mashariki!

Usilinganishe na local bank zetu hapa.
 
Bot kama regulators wa haya mabenki tafadhali waangalie upya charges za haya mabenki kwa wateja; some of their charges are unjustified! Mfano kwanini umtoze mteja kwa kutoa fedha zake toka kwenye account yake wakati huo huo mnatoza monthly fees kwa mwenye account?

Kuna unjustified charges nyingi ambazo ndizo zinasababisha mabenki yapate faida ambayo inatakiwa itokane na kukopesha wateja na sio tozo!!
Kuna hoja ya msingi sana hapa

Maana kila huduma umelipia

Monthly fee,atm card ni 15k bado utoe pesa ukatwe

Ilifaa atm iwe bure sasa kwa maana ile ni kama tools tu
 
Atm zao zipo za kutosha????........

looks like Equity ni wazuri kutunza hela wakati hizi local ni nzuri kwa wabongo wengi as tuko very poor kwenye judgement!

Niliumbuka chalinze July.. mvua imepiga Sina stress najua nna hela. Kumbe hakuna atm Wala wakala chalinze😆😆...then net ikawa down .haahaaa siwez sahau..nilianza kuhesabu wapita njia bila kupenda...Hili walifanyie kazi aisee
 
Walikupa aina gani ya kadi mdada? Kadi yangu ya Equity huwa naitumia hata nisipokuwa nchini kwa Magu kwa huduma zote zikiwemo kuchanja na kutoa pesa kwenye ATM zingine, nikizamani kutafuta ATM ya bank husika ili utoe pesa. CC Idd Ninga ngulyabhule
 
Weeee sitak habari za kuchanja benk nyngn aisee wanakata vby Sana. Wanakata dabo
 
Back
Top Bottom