CRDB na NMB zimelala sana ukifananisha na Equity Bank

Equity Kuna fee MOJA TU. unapotoa fedha ATM Au Cash Hapo ndio unakatwa... Hakuna sijui monthly fee ,kuona salio etc.. Ukiweka mzigo wako hata uangalie salio lako Mara Mia Miezi na Miezi lipo vile vile
 
kama ni hivyo nitahamie equity chap. CRDB ni majambazi ya kutisha
 
Sijui wanaajiri vyeti feki sikuhizi, unafika unaulizia fomu ya telegraphic transfer, unaambiwa muulize yule mara yule, yaani branch nzima anaejua t/t ni mfanyakazi mmoja tuu, tena nae hajui hata charges zake ni ngapi.
 
Equity ndio bank

Kubwa na yenye mtaji kuliko bank zote afrika mashariki!

Usilinganishe na local bank zetu hapa.
 
Kuna hoja ya msingi sana hapa

Maana kila huduma umelipia

Monthly fee,atm card ni 15k bado utoe pesa ukatwe

Ilifaa atm iwe bure sasa kwa maana ile ni kama tools tu
 
Atm zao zipo za kutosha????........

looks like Equity ni wazuri kutunza hela wakati hizi local ni nzuri kwa wabongo wengi as tuko very poor kwenye judgement!

Niliumbuka chalinze July.. mvua imepiga Sina stress najua nna hela. Kumbe hakuna atm Wala wakala chalinze😆😆...then net ikawa down .haahaaa siwez sahau..nilianza kuhesabu wapita njia bila kupenda...Hili walifanyie kazi aisee
 
Walikupa aina gani ya kadi mdada? Kadi yangu ya Equity huwa naitumia hata nisipokuwa nchini kwa Magu kwa huduma zote zikiwemo kuchanja na kutoa pesa kwenye ATM zingine, nikizamani kutafuta ATM ya bank husika ili utoe pesa. CC Idd Ninga ngulyabhule
 
Weeee sitak habari za kuchanja benk nyngn aisee wanakata vby Sana. Wanakata dabo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…