Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.
Hii clip ya malamiko ya huyu mteja nimeikuta TikTok.
Majid Nsekela inaelekea kazi inamshinda, huku akiongeza exposure yake hasa mambo ya kisiasa, badala ya ku run meticulously benki yake.
Fununu nilizopewa ni kwamba wale mameneja waliokuwa groomed na Kimei, wengi wamestaafishwa.
Tulio na miamala benki hii ,hili linatutia wasi wasi.