Kabisaa walinifanya ni siwekee helaa tena,fikiria waliniambia account hai kati charge,kama mmachinga nikawa naweka vijisti mamàae naenda kuchukua wamekata 17000 katika 25000,huu si ungeseeKwa kweli CRDB ni wezi mno, nashangaa serikali imekaa kimya wakitucheka wananchi wake
Tuwaige wahindiKama umeshindwa kutunza pesa zako wewe mwenyewe na ukaona ni heri kuwapelekea watu wengine wakutunzie acha kulalamika mkuu !
Hakuna Sheria inayokulazimisha kupeleka pesa Benki
Wakuwekee bure na ukaaminiKabisaa walinifanya ni siwekee helaa tena,fikiria waliniambia account hai kati charge,kama mmachinga nikawa naweka vijisti mamàae naenda kuchukua wamekata 17000 katika 25000,huu si ungesee
Ukiwauliza wanasemaje?Fuatilia makato uone ni balaa , mimi naweza kuhamisha 5k ya muda wa maongezi , ila baadaye unakuta 2k wameramba.
hapana ni salamaDuh! Mimi mbon Simbanking ndilo kimbilio langu. Kwa hiyo nimeishapigwa AMA?
Hatuongelei vijisenti unavyoviweka kwenye pochi yako.Kama umeshindwa kutunza pesa zako wewe mwenyewe na ukaona ni heri kuwapelekea watu wengine wakutunzie acha kulalamika mkuu !
Hakuna Sheria inayokulazimisha kupeleka pesa Benki
Ni app ya sim banking kama hakuna ulazima usitumie ,yaani wanakera sana.Ukiwauliza wanasemaje?
Mim NMB nakuta pesa zinachotwa mara kwa mara nmeenda kweny branch moja kaskazin na wao hawajui mara waseme ni mikopo nawaambia sina mkopo wanabakia kuniangalia tu kisha wanasema tumeshatatua tyr unatatuaje wkt hujui ttzoKwanza CRDB siyo benki kubwa kuliko NMB.
Mambo haya ya wizi hatudikii sana NMB.
Uongozi makini wa benki yoyote huwa inachukua hatua za haraka kumkingia kifua mteja na kuwachukulia hatua wahusika ndani ya benki.
Wateja tukiona huu wizi ukiendelea tutahamisha miamala.
Acha Porojo za kufikirika !Hatuongelei vijisenti unavyoviweka kwenye pochi yako.
Watu wana mabilioni, hata chumba chako cha kulala hakitoshi kuzitunza.
Nakama una uwezo za kuzitunza nyumbani kwako zote hizo, na mimi nakutembelea kunywa chai tu.
Nyie watu mitaji yenu ikiwa makalioni tutawajua tu.Acha Porojo za kufikirika !
Njoo kwangu nikugeuze uwe mke wangu !
Acha porojo mtoto wa kike !Nyie watu mitaji yenu ikiwa makalioni tutawajua tu.
Hizi bank za kiswahili kuna wafanyakazi siyo waaminifu wanachota hela kimya kimya weekend wanampa mangi mwenye bar ananunua stock kubwa anatengeneza faida. Hela zinarudishwa Jumatatu na faida wanagawana pasupasu.Mim NMB nakuta pesa zinachotwa mara kwa mara nmeenda kweny branch moja kaskazin na wao hawajui mara waseme ni mikopo nawaambia sina mkopo wanabakia kuniangalia tu kisha wanasema tumeshatatua tyr unatatuaje wkt hujui ttzo
Hiz bank zna madudu
Nasikia mna tabia ya kuwafanya hata baba zenu!Acha porojo mtoto wa kike !
Unataka pesa njoo uitumikie!
Kwahiyo kuibiwa bundle huogopi??Crdb hayo makato tu ni kasheshe,nina account.lkn natumia kununulia bundle tu siwezi kuhifadhi hela yangu kwa hii benki ,, benki kwa tz ni NMB tu.
Yes !,kama nilivyomfamya baba yakoNasikia mna tabia ya kuwafanya hata baba zenu!
Waibe tuKwahiyo kuibiwa bundle huogopi??
Benki ya CRDB ni wezi,haifai kuitwa hata SACCOS yaani tupo kumbe wengi tulioibiwa hata account za wanyonge wanakombwa haswa.View attachment 3422559
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaingezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo haoa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.
Hii clip ya malamiko ya huyu mteja nimeikuta TikTok.
Majid Nsekela inaelekea kazi inamshinda, huku akiongeza exposure yake hasa mambo ya kisiasa, badala ya ku run meticulously benki yake.
Fununu nilizopewa ni kwamba wale mameneja waliokuwa groomed na Kimei, wengi wamestaafishwa.
Tulio na miamala benki hii ,hili linatutia wasi wasi.