tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Ni kweli kabisa naungana nawe 💯 % mkuu. CRDB sio wezi electronically tu lakini pia ni wezi physically. Kuna siku nimeenda kuweka pesa zikiwa zimetimia nilipomkabidhi yule teller akaanza kwanza kuzihesabu kwa mikono. Alipoanza kuzihesabu kwenye mashine, ikapungua noti moja ya Tsh 10,000.View attachment 3422559
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.
Hii clip ya malamiko ya huyu mteja nimeikuta TikTok.
Majid Nsekela inaelekea kazi inamshinda, huku akiongeza exposure yake hasa mambo ya kisiasa, badala ya ku run meticulously benki yake.
Fununu nilizopewa ni kwamba wale mameneja waliokuwa groomed na Kimei, wengi wamestaafishwa.
Tulio na miamala benki hii ,hili linatutia wasi wasi.
Nilishangaa ile noti imeenda wapi. Baadaye nilikuja kutonywa na wasamalia kuwa kumbe yule dada alijifanya anahesabu zile noti kwa mkono huku akidondosha noti moja chini kwa makusudi. Hawa watu wa CRDB wamezidi kwa wizi. Bora arudi Kimei. Vinginevyo hii benki itakosa wateja na kufirisika. Mungu anawaona.