CRDB vibaka ndani ya benki wameongezeka! Majid Nsekela kazi inamshinda?

Hamtakiwi kuweka pesa nyingi katika benki moja!

Katika benki zote Tanzania, CRDB ndo nilikuwa naiona ya maana.

Ila ada zao, hususan ukitoa hela nje ya nchi, ni kubwa mno.

Kingine kilichonipendeza, ni hiyo app yao ya SimBanking.

Sikupata longolongo yoyote ile katika kui download na kujiandikisha.

Kuna benki moja ya muda mrefu niliulizia kuhusu online banking, wakaniambia nijaze fomu halafu niipeleke kwa meneja wa tawi ambaye naye ataipeleka sijui wapi huko ili niweze kupata approval!

Nikaishia hapo hapo maana nilichoka. Karne ya 21 wao bado wana mambo ya karne ya 20.

Sasa ninaposikia haya malalamiko dhidi ya CRDB, navunjika moyo sana.

Anywho, dawa ni kutokuweka kila kitu sehemu moja!

That’s banking 101!
 
View attachment 3422559
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka.

Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.

Hii clip ya malamiko ya huyu mteja nimeikuta TikTok.

Majid Nsekela inaelekea kazi inamshinda, huku akiongeza exposure yake hasa mambo ya kisiasa, badala ya ku run meticulously benki yake.

Fununu nilizopewa ni kwamba wale mameneja waliokuwa groomed na Kimei, wengi wamestaafishwa.

Tulio na miamala benki hii ,hili linatutia wasi wasi.
NImeanzisha Uzi pia, jana pia nimekuta nimekatwa pesa bila sababu katika account ya CRDB. Wakitaka ushahidi nitawaonesha

CRDB wamekuwa HOVYO SANA, Uzuri benki zipo nyingi.
 
Bank ya CRDB ni bank kubwa sana inayojaribu kuchanua zaidi kidunia.

Lazima haya mambo ya kupata changamoto ya kitechnologia yatatokea. Hata bank za Dunia ya kwanza yanawakumba sanaa.
Kwa mfano benki ipi ya dunia ya kwanza??🤣
 
Mim NMB nakuta pesa zinachotwa mara kwa mara nmeenda kweny branch moja kaskazin na wao hawajui mara waseme ni mikopo nawaambia sina mkopo wanabakia kuniangalia tu kisha wanasema tumeshatatua tyr unatatuaje wkt hujui ttzo

Hiz bank zna madudu
Hapa Bongo mambo mengi yapo hovyohovyo tu
 
Hamtakiwi kuweka pesa nyingi katika benki moja!

Katika benki zote Tanzania, CRDB ndo nilikuwa naiona ya maana.

Ila ada zao, hususan ukitoa hela nje ya nchi, ni kubwa mno.

Kingine kilichonipendeza, ni hiyo app yao ya SimBanking.

Sikupata longolongo yoyote ile katika kui download na kujiandikisha.

Kuna benki moja ya muda mrefu niliulizia kuhusu online banking, wakaniambia nijaze fomu halafu niipeleke kwa meneja wa tawi ambaye naye ataipeleka sijui wapi huko ili niweze kupata approval!

Nikaishia hapo hapo maana nilichoka. Karne ya 21 wao bado wana mambo ya karne ya 20.

Sasa ninaposikia haya malalamiko dhidi ya CRDB, navunjika moyo sana.

Anywho, dawa ni kutokuweka kila kitu sehemu moja!

That’s banking 101!
Kwa walichofanya CRDB kulitakiwa kuwa na bank run sasa hivi.

Mpaka sasa siwaelewi kabisa Watanzania.
 
Vipi huduma za kuhamisha pesa kwenda mitandao ya simu au benki nyingine kutokea CRDB zimerejea au bado zinasuasua kuna kiasi nataka nikihamishe chote wasije kupita nacho maana nimekuta wamaepita na 20K ambayo kimsingi hata sijui ni ya nini
 
Hamtakiwi kuweka pesa nyingi katika benki moja!

Katika benki zote Tanzania, CRDB ndo nilikuwa naiona ya maana.

Ila ada zao, hususan ukitoa hela nje ya nchi, ni kubwa mno.

Kingine kilichonipendeza, ni hiyo app yao ya SimBanking.

Sikupata longolongo yoyote ile katika kui download na kujiandikisha.

Kuna benki moja ya muda mrefu niliulizia kuhusu online banking, wakaniambia nijaze fomu halafu niipeleke kwa meneja wa tawi ambaye naye ataipeleka sijui wapi huko ili niweze kupata approval!

Nikaishia hapo hapo maana nilichoka. Karne ya 21 wao bado wana mambo ya karne ya 20.

Sasa ninaposikia haya malalamiko dhidi ya CRDB, navunjika moyo sana.

Anywho, dawa ni kutokuweka kila kitu sehemu moja!

That’s banking 101!
Sahihi kabisa mkuu ni bora uwe na account nyingi kuliko kuweka pesa katika benki moja,kweli CRDB wapo vizuri lakini kinacho endelea sio kizuri kabisa sifa yao inapotea kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom