Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Hahaha mkuu umenifanya nicheke Kwa Sauti. Yani unanifaham kila nikijibadili.Wewe hapo Uswazi ya Copenhagen unaweka pesa wapi
Mimi naweka Danske
Hahaha mkuu umenifanya nicheke Kwa Sauti. Yani unanifaham kila nikijibadili.Wewe hapo Uswazi ya Copenhagen unaweka pesa wapi
Good for you. Uwe makini tu, maana huko kwenu hamkawii kuoana midumeHahaha mkuu umenifanya nicheke Kwa Sauti. Yani unanifaham kila nikijibadili.
Mimi naweka Danske
Ngoja nifuatilie.Ni app ya sim banking kama hakuna ulazima usitumie ,yaani wanakera sana.
Pale juu ulisema vizuri nadhani ungeendelea kumuelewesha mdau kwa hoja nzuri angeelewa vizuri zaidi tofauti na ulichofanya hapa.Acha Porojo za kufikirika !
Njoo kwangu nikugeuze uwe mke wangu !
Kwa kweli wale jamaa washashiba ujinga wa kulelewa na CCM, ni wezi mno. nashangaa serikali kukaa kimya maana hili si geni kwa wananchi (wateja) kuwalalamikia.Kabisaa walinifanya ni siwekee helaa tena,fikiria waliniambia account hai kati charge,kama mmachinga nikawa naweka vijisti mamàae naenda kuchukua wamekata 17000 katika 25000,huu si ungesee
Mkuu,Hatulalamiki bure mkuu. Mimi kuna siku nihamisha tshs 40 million kutoka bank X kwenda crdb bank zilipotelea huko 14days na mwisho wa siku wakasema kulikuwa na hitilafu. Bank X alithibitisha hela kuhamamishwa siku ileile niliyotoa instructions. Kama hakupewa mfanyabiasha wa Kariakoo chap China na kurudi ,zilikuwa wapi?The money was meant for an urgent business, ikala kwangu🥲
Mimi kwenye account nililalamika kwanini ninakatwa 20000 kwa mwaka,wakati wao ndiyo wameingia mkatabata na visa bila kunishilikisha.Mkuu,
Unaujua mfumo wa kuhamisha hela kati ya mabenki unafanyikaje?. Huko benki X ulikohamisha fedha walikupa nyaraka ya uthibitisho wa kuhamisha fedha/SWIFT Advice ili kuweza fuatilia zimekwamia wapi?.
Hela zinatumwa kwenda na kutoka mataifa mbalimbali na hazipotei, zije kupotea zinazokuwa transferred localy?.
Nadhani kuna haja ya watu kupata elimu ya fedha. Ukienda kufungua akaunti benki au kupata huduma fulani, hakikisha umepata majibu ya maswali yako yote.
Kwa miongozo ya BoT, benki zote zinapaswa kuweka wazi minimum disclosure ya charges kwenye banking halls zao, na hizi pia hupatikana kwenye website za benki husika.
Inaonekana nawe ni mojawapo, Ila huvumiKama umeshindwa kutunza pesa zako wewe mwenyewe na ukaona ni heri kuwapelekea watu wengine wakutunzie acha kulalamika mkuu !
Hakuna Sheria inayokulazimisha kupeleka pesa Benki
Hawa sijasikia malalamiko kwao kwa kweliJe HSBC ipo hivi?
Nani huyu tena mkuu?Mwamba nakufaham sana wewe hupendi upuz a no nonsense person. Cheki sura ya kazi.
View attachment 3423790
NMB au kwinginekoTUKAZITUNZE WAPI???? Maana hapa ni hatari na NUSU
Zingekuwa pesa zako usiongeongea huu ugoro, pumbaf sanaBank ya CRDB ni bank kubwa sana inayojaribu kuchanua zaidi kidunia.
Lazima haya mambo ya kupata changamoto ya kitechnologia yatatokea. Hata bank za Dunia ya kwanza yanawakumba sanaa.