Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
MhiiKama umeshindwa kutunza pesa zako wewe mwenyewe na ukaona ni heri kuwapelekea watu wengine wakutunzie acha kulalamika mkuu !
Hakuna Sheria inayokulazimisha kupeleka pesa Benki
Duh! Mimi mbon Simbanking ndilo kimbilio langu. Kwa hiyo nimeishapigwa AMA?Wanakwapua wenyewe hawa , ukiwa na pesa ndefu , unashangaa tu siku wameondoa 10k ...Hawa jamaa ukitaka uwakimbie usitumie App ya simbanking .
Nimewashtukia sana , unaweza kuhamisha hata 2k , wao wakaondoka na 1k ..Wajanja sana na meseji zao za promotion ili kuhamasiha kutumia simbanking ...Bank zote ni mifumo ya kuwakandamiza watu maskini wasinyanyuke kabisa .
Kwanza CRDB siyo benki kubwa kuliko NMB.Bank ya CRDB ni bank kubwa sana inayojarbu kuchanua zaid kidua,Lazima haya mambo ya kupata changamoto ya kitechnologia yatatokea.Hata bank za Dunia ya kwanza yanawakumba sanaa.
Fuatilia makato uone ni balaa , mimi naweza kuhamisha 5k ya muda wa maongezi , ila baadaye unakuta 2k wameramba.Duh! Mimi mbon Simbanking ndilo kimbilio langu. Kwa hiyo nimeishapigwa AMA?
Kusema CRDB inazidiwa na NMB hapo siyo kweli, Capital na Customers NMB anazidiwa japo ni slight marginKwanza CRDB siyo benki kubwa kuliko NMB.
Mambo haya ya wizi hatudikii sana NMB.
Uongozi makini wa benki yoyote huwa inachukua hatua za haraka kumkingia kifua mteja na kuwachukulia hatua wahusika ndani ya benki.
Wateja tukiona huu wizi ukiendelea tutahamisha miamala.
Alafu mnaosema Samia aendekee kuwa Rais kweli watanzania hamna AKILI TIMAMU kabisa,hz Samia umewahi kumuona anakemea nn kwa kumaanisha,huyu mwanamke ametwikwa mzigo mkubwa sana,tunasema jeshi letu Lina nidhamu mm siamini kabisa kama ni kweli mm nadhani kusema jeshi Lina nidhamu ni unafiki na woga tu,mm naamini nidhamu ya majeshi yetu Iko likizo pia, system zote zinacollapse unawezaje kusema Moja ya hizo system Zina nidhamu.Tukubali MAENEO NA TAASISI NYINGI NCHINI HAZINA MAADILI ZIMEOZA NA PALIPO NA UOZO PANATOA MAFUNZA TU.TUOMBE MUNGU ATUSAIDIE.View attachment 3422559
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaingezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo haoa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.
Hii clip ya malamiko ya huyu mteja nimeikuta TikTok.
Majid Nsekela inaelekea kazi inamshinda, huku akiongeza exposure yake hasa mambo ya kisiasa, badala ya ku run meticulously benki yake.
Fununu nilizopewa ni kwamba wale mameneja waliokuwa groomed na Kimei, wengi wamestaafishwa.
Tulio na miamala benki hii ,hili linatutia wasi wasi.