CRDB wakanusha bank statement iliyodaiwa kuwa ya Mbowe

20230904_001943.jpg
 
CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?

Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?

Haiingii akilini.
Kumbe kweli wewe uko kundi la akili ndogo. Unategemea MTU Kama Karamagi atoe rushwa kwa njia ya mtandao?
Huko CCM mbona hamfanyi hivyo?
Rushwa hutolewa cash money my good friend.
 
CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?

Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?

Haiingii akilini.
Hizo akili si mpaka uwe nazo sasa!
 
CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?

Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?

Haiingii akilini.
Ficha ujinga wako bwege wewe, kila siku tunatumia hayo mafafa kuchukulia viza na kuomba admission ya vyuo ughaibuni.
 
CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?

Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?

Haiingii akilini.
Uchunguzi wa aliyefoji Mama, wao hawahusiki na uchunguzi uchunguzi unafanywa na vyombo vya dola ! Jukumu la CRDB ni ku Report kwenye vyombo hivo alafu waendelee na uchunguzi
 
Mama hivi Una account bank yeyote ? Na uwa unachukua Bank statement? Tuanzie hapa
 
Uchunguzi wa aliyefoji Mama, wao hawahusiki na uchunguzi uchunguzi unafanywa na vyombo vya dola ! Jukumu la CRDB ni ku Report kwenye vyombo hivo alafu waendelee na uchunguzi
DCI hawezi kuisumbuwa fraud ofisi kwa vitu vinavyojurikana wazi viko fabricated kutokea pale Morogoro road kwenye majengo ya Uvccm Upanga.
 
CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?

Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?

Haiingii akilini.
Mbona rahisi tu kuelewa? Uchunguzi wa aliyeitengeneza na wanaoisambaza
 
Mh jamani Da FaizaFoxy mbona statement ni ya uongo kabisa ni fake. Mi ilibidi nichunguze. Ni kweli mbowe anaongoza genge la wahuni ila kwa hili kuna propaganda ambayo siyo nzuri, tuziache bank zetu zifanye kazi.
 
Mbona rahisi tu kuelewa? Uchunguzi wa aliyeitengeneza na wanaoisambaza
DCI hawezi kujisumbuwa kufanya uchunguzi kwa kitu anachokijuwa wazi kinapotoka wapi na wahusika ni nani.

Sasa hili trailer tu mnaoneshwa jinsi Ccm wanaweza kufanya lolote kwenye fraud, sasa Picha kamili uko kwenye mikataba ndio kwenye balaa.
 
Back
Top Bottom