Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.
Wewe bibi unajua wewe ni kumbafu sana?
Kwanza acc za crdb haziko kama hiyo namba ilivyo!!
Kiufupi hata hiyo acc haipo!!!
Kenge wwe!