Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Uchunguzi wa kumbaini aliyafanya ule uchafu. Hata hili linakushinda kuelewa mkuu!CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.