CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.
Samia kaishiwa pumzi, anatapatapa
Mbowe ana pesa zake wakati wewe na wazazi wako tena Wazazi wako wakichunga Ndama huko milima ya Usambala.Mbowe amechota mpunga bhana.
Unaijua Familia ya Mbowe? Wewe endela na na Mision za Udini, Mbowe ana pesa wakati wewe Wazazi wako hasa Babu zako wakiwa Busy na elimu ya DiniCRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.
Nahisi umeanza kuzeeka sana.CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.
Nadhani wewe huenda umechangikiwa.Hizi propaganda za kijinga sana. Ile statement haina hata bank charges. Tatizo pande zote CCM na CHADEMA ina makada ambao ni wapuuzi kuanzisha mambo ya kijinga. CHADEMA ni wataalamu wa hizi propaganda za kishamba.
Hivi wewe una akili timamu?Wanaharakati wa chadema kwenye mitandao ya kijamii.
Hata hivyo hao crdb wamejitahidi sana kukanusha! kiuhalisia hakukuwa na sababu zozote za kukanusha kwasababu hata chadema nao wanaoongoza kwa propaganda zisizo za kweli. Utakuta picha ya miaka ya nyuma wanaitumia kuelezea tukio la sasa!
Hizo zote ni propaganda tu za kisiasa. Hazina tija
Wewe Bibi kweli haunazo mpaka naijuliza kila siku unakuaje platinum member kama sio Fisadi la kijani, uchunguzi unafanyika kubaini ni nani aliyeitengeneza hiyo statement fake maana si kwamba inamchafua Mbowe, Mbowe yupo leo kesho atazikwa kama alivyozikwa magufuli ila CRDB ni taasisi kubwa inaoperate zaidi ya Tanzania na kusambaa kwa statement ya mteja wao ambayo hata kama ingekuwa ni kweli huwa ni Siri baina ya Bank na Mteja hivyo kusambaa kwake kunaipotezea credibility kwa wateja na watu Smart (ambao ndio wenye hela nyingi) watakwepa kubank na CRDB, ila nje ya Bank, hairuhusiwi kutengeneza na kuchapisha taarifa za kughushi na Mbowe angekua hajakomaa kusiasaa angeanza kumla kichwa huyo muhusika wa statement fake.CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.
Haingii akili Mtu mzima kama wew kudhani ile Statment inaweza kuwa ya Kwelii...!!CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.
Ccm ya Samia ni hovyo sanaWanaCCM wamebakia kusambaza Fake News hahaa...
Haya ni ya kweliCRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.
Kuna vyama vimejificha havijulikani hata viko wapi wao ni wazee wa matamko tu ila mikutano hawafanyi, sasa sijui itakuwaje
Yaani umewataja wote CCM na CDM, na mwisho ukasema ni CDM..!! AiseeHizi propaganda za kijinga sana. Ile statement haina hata bank charges. Tatizo pande zote CCM na CHADEMA ina makada ambao ni wapuuzi kuanzisha mambo ya kijinga. CHADEMA ni wataalamu wa hizi propaganda za kishamba.
Kheee..!! Unashangaa serikali kuhusishwa..!!?? Loliondo yenyewe imeuzwa na serikali na mpaka imewafukuza wamasai, ndo uje ushangae benki statement kuhusishwa serikali..!!CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.
Mbowe amechota mpunga bhana.
CRDB wasituone wote wajinga. Kama siyo bank statement ya kweli kwanini serikali ihusishwe na ufanyike uchunguzi?
Au niulize, uchunguzi wa nini? Kubainisha kuwa siyo ya ukweli?
Haiingii akilini.
LY bosiUna elimu gani mkuu?