britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Alafu sijui kwanini wasiweke waziAisee ni hatari sana au wamebeba wazee wa kazi wa upande ule
inabidi waende mahakamaniCrdb inapo elekea ni kujifia tu, maana wananchi walio ibiwa lazima wakimbilie benki pinzani.
Hamia nBcHii si mara ya kwanza kwa CRDB ila round hii ndio imepigwa pesa nyingi zaidi. Binafsi nafikiria kuhamia NMB
Hawa kama wana kiharufu cha wale jamaa wa southHamia nBc
Hata kama wameiba au kuhack lakini kilichoibwa ni Namba Cash si imebaki?Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo
View attachment 3471585
Britanicca
Kijana hayo manamba ndo makalatasi yenyewe, kiufupi huwa wanapeleka manamba benki kuu wanapewa makalatasi mapya kutoka Uswizi then wanatuletea sisi, sasa ukiibiwa hayo manamba ni sawa na kupoteza neno siri la akaunt ya M-Pesa...Hata kama wameiba au kuhack lakini kilichoibwa ni Namba Cash si imebaki?
Sioni tatizo labda wataalam mtueleweshe
kazi kwl kwl.Hata kama wameiba au kuhack lakini kilichoibwa ni Namba Cash si imebaki?
Sioni tatizo labda wataalam mtueleweshe
Inaitwa crowd control, 2009 google ndio kampuni iliyokiri in publick kuwa wamekuwa hackedNili sema hii kuboresha mfumo ni janja janja, kuficha mambo.
kiuhalisia ime kuja baada ya lile dokezo la madogo kuwa na zaidi ya b 10 kwenye account zao.
So hapo wamesha toa mizigo yao.