Tetesi: CRDB wameibiwa zaidi ya bilion 3 za wateja kwenye hacking ndio maana wakaweka siku za kujihakiki kubadili mfumo

Ni kweli hi nchi imesinzia sana wa kulaumu ni Nyerere ndo alio tujengea msingi mbovu, kweli mwaka 2025 mna thubutu je kuchangua legislator wa darasa la 7 na watu wote wanaona ni normal na kawaida Tanzania ni nchi ya ajabu sana unakua na wataalamu ambao sio wasomi na wana akili duni
Mkuu, hata kumlaumu Nyerere ni moja ya mambo yanayotufelisha na kutufanya tuwe tulivyo. Nyerere kaondoka siku nyingi ingekuwa tuko makini ungekuta tuko vizuri tu. Infact kipindi cha Nyerere tulikuwa tuko vizuri kabisa kuliko sasa hivyo ni sisi tumeharibu wenyewe. Kipindi cha Nyerere mkuu wa usalama aumajeshi angethubutu kununua magari ya kifahari kama sasa?
 
Ukitaka kujua wa TZ ni kenge soma majibu yao humu. Afu mnajiita great thiker kweli?

Unasema wateja watakimbia, nan kasema huko watakoenda ni salama? Bank kubwa dunian zinaibiwa si mkasome.

Mwingine anasema waliobiwa waende mahakamani, kwan hao watu kwenye account zao pesa inaonesha imepungua? Au wameenda toa ikatoka pungufu?

Lakin pia andiko moja tu mnareact bila jiuliza ukweli uliopo, aliesema ni nan kwenye system na vyanzo vya taarifa ni vip?

Achen mihemuko, kaenichini na musome muelewe sio musome na kuwa wakwanza kukomenti.
Wewe hujaona humu watu wanalalamika pesa zao zinapungua wewe u afikiri waliiba kwenye central benki tatizo ya watanzania nikujifanya wajuaji sasa wewe mwenyewe hujui hiyo fraud ya mtandaoni I afanyainyika je je?
 
Mkuu, hata kumlaumu Nyerere ni moja ya mambo yanayotufelisha na kutufanya tuwe tulivyo. Nyerere kaondoka siku nyingi ingekuwa tuko makini ungekuta tuko vizuri tu. Infact kipindi cha Nyerere tulikuwa tuko vizuri kabisa kuliko sasa hivyo ni sisi tumeharibu wenyewe. Kipindi cha Nyerere mkuu wa usalama aumajeshi angethubutu kununua magari ya kifahari kama sasa?
Nyerere kama mtu aliondoka ila sera za lichama lake ndo li aumiza watanzania mpaka leo hu umasilini elimu duni ufisafi unaletwa na lichama lake hili la Ccm Nyerere ndochanzo cha matatixo ya Tanzania huwezi kumtoa katiak hili angekufa na chama chake kikaondolewa ungesema sawa
 
Mmh 3bn ni pesa ya madafu kwa CRDB mkuu get serious huo ni karibia mshahara wa watumishi karibia wilaya nzima za vvijijini
Yupo sahihi, Ni hela kidogo kwao ukilinganisha na faida ambayo huwa wanaipata kwa mwaka. Issue ni kuziba mianya ya hizo fraud kama zipo kweli.

Mimi nimekuwa nikiongea na watu wa crdb kinachoonekana baada yq kumove kwenda kwenye mfumo mpya ulioanza kazi jumatatu ya wiki hii kumekuwa na mapungufu kadhaa ambayo wanayafanyia kazi, mojawapo ni pale unapoweka au kutransfer fedha kwenda acc yako ya crdb simbanking kutokuonesha salio lakini ukimpigia mtu wa ndani anakusomea salio sahihi. Pamoja na changamoto nyingine.

Unapobadilisha mfumo huwezi kukosa mapungufu sema wanatakiwa kuyafanyia kazi mapema na pia wanatakiwa wawaeleze wateja kinachoendelea, kukaa kimya ndio kunafanya watu wanaspeculate na wengine wanaamini wanayoambiwa na wanahama
 
Walikua wapi siku zote kubadili software mpya mimi sikubaliane na wewe kwamba 3bn ni hera ndogo ni karibia robo ya faida yao ya quarterly hiyo pesa ni nyingi kwa uchumi wetu Tanzania kuiondoa kwenye.circulation.
 
Inawezekana vip watu ku-hack bank na kubeba 3b tu?..
Kuhack sio process ya siku moja...inahusisha watu wengi na pesa pia....mifumo ya bank inalipiwa kutoka nje na inahostiwa huko huko..."mawazo yangu"
Ukweli utafikiwa tu..
 
Ni kweli hi nchi imesinzia sana wa kulaumu ni Nyerere ndo alio tujengea msingi mbovu, kweli mwaka 2025 mna thubutu je kuchangua legislator wa darasa la 7 na watu wote wanaona ni normal na kawaida Tanzania ni nchi ya ajabu sana unakua na wataalamu ambao sio wasomi na wana akili duni
Mkuu mpumzishe mzee wetu Nyerere.
Asilimia kubwa ya kizazi cha sasa hawakumuona wala kuishi kwenye utawala wake.
Na mengi yanayofanyika sasa ni yale Nyerere aliyoyapinga.
Kumsingizia Nyerere kwa upuuzi wa viongozi wetu ni 'uvivu wa kufikiri' na huu ndio ugonjwa mkubwa wa watanzania kwa sasa.
 
Tunateseka kwa legacy yake, mpaka leo wewe anglia aina ya uchanguI nchini unafikiri nanai kaweka katiba ya mwaka 1977 ambao inatutesa.
 
Inawezekana vip watu ku-hack bank na kubeba 3b tu?..
Kuhack sio process ya siku moja...inahusisha watu wengi na pesa pia....mifumo ya bank inalipiwa kutoka nje na inahostiwa huko huko..."mawazo yangu"
Ukweli utafikiwa tu..
Zimechotwa na mtu sio kwamba wamehakiwa kuna mtu kaingia kachota kiasi anachotaka na hawana cha kumfanya kesho anaenda kununua Gari lingine la mabillion awalingishie masikini wanaolipa kodi na wanaoweka pesa zao wanazodunduliza kwenye vibubu bank
 
Kama ni bilion 3.2 ni hela ndogo sana kwa maana faida ya bank kwa mwaka ninzaidi ya 350 billion

Hela ambayo ingetikisa bank labda wangeiba kama bilion 500 ambazo ni arround dola 200 million ndio bank ingetikisika..na penyewe haiwezi kufa

Billion 3.2 inaweza kuwa faida ya mwezi kwa branch moja kama ya Gongo la mboto

Billion 3.2 kwa crdb ni sawa na kuchota kijiko kimoja cha maji kutoka kwenye pipa la maji
Tatizo linaweza kuwa wamepunguza sifuri hapo ili kupunguza shock ya umma but the real figure huenda ni kubwa sana.
 
Walikua wapi siku zote kubadili software mpya mimi sikubaliane na wewe kwamba 3bn ni hera ndogo ni karibia robo ya faida yao ya quarterly hiyo pesa ni nyingi kwa uchumi wetu Tanzania kuiondoa kwenye.circulation.
Faida ya CRDB baada ya makato ya kodi kwa mwaka 2023 ni bilioni 422 na mwaka 2024 ni bilioni 550. Robo ya faida kwa quarter moja ni bilioni 105 (2023) na bilioni 136.2 (2024).

Walikuwa wapi siku zote kwa kweli ni swali subjective, sijui wewe ulitaka wabadili lini? Ni subjective kwa kuwa huo muda utakaoona walipaswa wawe wamebadili mfumo mwingine anaweza kuona kwamba walichelewa pia.
 
Kama ni bilion 3.2 ni hela ndogo sana kwa maana faida ya bank kwa mwaka ninzaidi ya 350 billion

Hela ambayo ingetikisa bank labda wangeiba kama bilion 500 ambazo ni arround dola 200 million ndio bank ingetikisika..na penyewe haiwezi kufa

Billion 3.2 inaweza kuwa faida ya mwezi kwa branch moja kama ya Gongo la mboto

Billion 3.2 kwa crdb ni sawa na kuchota kijiko kimoja cha maji kutoka kwenye pipa la maji
Ungeweka na ushahidi kabisa kusapoti unachosema
 
Kuna mtu aliniambia kilichofanya wapigwe ni baada ya watanzania wengi kutumia VPN siku za karibuni huku wanatumia app ya CRDB kwenye simu,wahuni wakatumia mwanya huo kuhack..

Nafikiri sasa hivi wafanye ukiwasha VPN usiweze kufungua Apps za Bank ,kama ilivyo Rooted phones
 
Kama ni bilion 3.2 ni hela ndogo sana kwa maana faida ya bank kwa mwaka ninzaidi ya 350 billion

Hela ambayo ingetikisa bank labda wangeiba kama bilion 500 ambazo ni arround dola 200 million ndio bank ingetikisika..na penyewe haiwezi kufa

Billion 3.2 inaweza kuwa faida ya mwezi kwa branch moja kama ya Gongo la mboto

Billion 3.2 kwa crdb ni sawa na kuchota kijiko kimoja cha maji kutoka kwenye pipa la maji
Namimi nashangaa, kama ni tukio basi watakuwa wamepigwa 600B plus ndiyo maana wapo kwenye panic mode. Wajiandae kuikabidhi hiyo benki bot maana bank run inawahusu
 
Kuna mtu aliniambia kilichofanya wapigwe ni baada ya watanzania wengi kutumia VPN siku za karibuni huku wanatumia app ya CRDB kwenye simu,wahuni wakatumia mwanya huo kuhack..

Nafikiri sasa hivi wafanye ukiwasha VPN usiweze kufungua Apps za Bank ,kama ilivyo Rooted phones
Ilaumiwe serikali kwa hili
 
Tunateseka kwa legacy yake, mpaka leo wewe anglia aina ya uchanguI nchini unafikiri nanai kaweka katiba ya mwaka 1977 ambao inatutesa.
Ukiwa mkweli nafsini kwako utaona wazi kabisa kuwa viongozi wetu wa sasa hawana hata nukta ya aina ya uongozi wa Nyerere.
Nyerere uwajibikaji ulikuwa zaidi ya 95%
Ufisadi na wizi ilikuwa ngumu sana.
Elimu ilikuwa nzuri zaidi ya 90%
Afya ilikuwa safi.
Kuhusu katiba ya ccm 1977 usisahau kuwa nchi ilikuwa na mfumo wa chama kimoja na sera ya ujamaa na kujitegemea.
Ccm wa sasa hata hiyo katiba yao ya 1977 wanayo lkn hawaifuati.
Nyerere alipambana sana kututoa huku ambapo Ccm ya sasa inatupeleka kwa kasi ya kisulisuli.
 
Back
Top Bottom