JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Kama hiyo taarifa ni ya branch moja..!😳...Uko sahihi kabisa.Bilion zaidi ya 3 that was one branch what about others ! Means can be up to 100 bilion
Kama hiyo taarifa ni ya branch moja..!😳...Uko sahihi kabisa.Bilion zaidi ya 3 that was one branch what about others ! Means can be up to 100 bilion
Kuna watu wanaspeculate kama ulivyofanya mara 100 B, mara 500B... hivi watu humu wanafahamu impact kwenye uchumi ya nusu Trilion kuondoka kwenye mfumo wa kibenki ndani ya siku kadhaa???Bilion zaidi ya 3 that was one branch what about others ! Means can be up to 100 bilion
Hivi Benk hazina Bima?Kama ni bilion 3.2 ni hela ndogo sana kwa maana faida ya bank kwa mwaka ninzaidi ya 350 billion
Hela ambayo ingetikisa bank labda wangeiba kama bilion 500 ambazo ni arround dola 200 million ndio bank ingetikisika..na penyewe haiwezi kufa
Billion 3.2 inaweza kuwa faida ya mwezi kwa branch moja kama ya Gongo la mboto
Billion 3.2 kwa crdb ni sawa na kuchota kijiko kimoja cha maji kutoka kwenye pipa la maji
Hamna hacking yeyote CRDB wameiba wenyewe.Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo.
View attachment 3471585
Britanicca
Bima TZ?🤣🤣🤣🤣Hivi Benk hazina Bima?
Bank nyingi bongo zinaweka insurance against robbery, na internal fraud. Lakini international banks zina insurance covers against cyber crime . Nina wasiwasi kama hawa ndugu zetu walikuwa nayo hiyo ya cyber .Na hata hivyo makampuni ya bima ya hapa hayakati ni lazima wakatie makampuni ya nje.Hivi Benk hazina Bima?
Tatizo kubwa ni kuwa popote alipo mtanzania anakuwa ame-relax na hayuko makini. Nakuapia hata uweke software ya karne ijayo bado tu. Nchi yetu imeshaingia kwenye culture mbaya sana na uzembe na bora liende. Na hili linaanzia kwenye uongozi wa nchi na linashuka mpaka ngazi za chini. Kila kitu ni kuunga-unga na kutumia ubabe (kwa sababu hatuna maarifa). Hivi kama nchi inaweza kuwa na majaji na wanashria wa serikali kama wanafanya kesi ya Lissu unategemea nini kwenye maeneo mengine? Kama mkuu wa usalama au majeshi yuko compromised kiasi cha kuishi kwenye maisha ya kifisadi huku watoto wao wanatembea na mabunda ya dola, ni nani wa kuichunga nchi? Na bado... huu ujinga unafanyika sasa hivi utakuja kutu-cost mno siku sijazo.
Hata km ni nje ,je Hy bank Haina bima ?Bima TZ?🤣🤣🤣🤣
Hizo hazija kwenda kwenda tawi jipya la Dubai kweli?Alafu sijui kwanini wasiweke wazi
Msimu wa chafuzi ni msimu wa mavuno iwe haramu ama halaliHivi "financial regulator" wa mabenki ni nani ukiacha BOT?
Nchi yapaswa kuwa na "financial regulator" ili kuziwajibisha benki zinokiuka taratibu ambazo husababisha kuwepo na fraud za makusudi..
Fraud ni wizi wa kiuchumi au economical crime.
Inaweza kua zaidi ya hiyoNiko serious kabisa mkuu japo neno madafu hukulielewa vizuri. Siyo fedha nyingi kiasi cha kuweza kuyumbusha benki kama watu wanavyolalamika sasa. NB: Neno madafu nimetumia kumaanisha fedha ya kitanzania yaani shilingi. Ukisikia mtu anasema fedha ya madafu ina maana anamaanisha shilingi za kitanzania.