Tetesi: CRDB wameibiwa zaidi ya bilion 3 za wateja kwenye hacking ndio maana wakaweka siku za kujihakiki kubadili mfumo

Bilion 3 ni pesa ndogo kwa crdb, haiwezi kutingishwa kwa hiyo pesa. Labda useme Kuna mengine au zaidi ya hiyo
 
B3 kwa benki kubwa kama crdb n pesa ndogo sana
Tatizo siyo kiasi, wadau wanaozungumzia system kuwa compromised na kuruhusu mafedhuli kuibia benki. Leo wameanza na kidogo 3 Billion, kesho huwezi jua?! Inaweza isiwe CRDB, labda benki nyingine au pengine hata BOT yenyewe.
 
Aisee kuna tu sent twangu tupo huko crdb kila nikienda kwa WAKALA naambiwa hakuna mtandao,!!
 
CRDB inalalamikiwa muda mrefu kwa miamala ya wateja kukatwa bila sababu za msingi,na wakawa awachukui jukumu lolote zaidi ya kuwaona wateja kama mazuzu,haya ndio madhara yake sasa
 
Hii mimi sijaielewa hata.
Maana humu kila mtu anaishia kuzungumzia "kuna jamaa zangu wameibiwa" ina maana humu katika member over 3M wa JF hakuna mwenye ushuhuda kuwa na yeye ni victim??
Au ndio mambo ya mitandao kuvumisha mambo?

Au ndio upepo wa serikali kuhamisha attention ya wananchi wakat huu wa masuala ya uchaguzi??
 
Tatizo siyo kiasi, wadau wanaozungumzia system kuwa compromised na kuruhusu mafedhuli kuibia benki. Leo wameanza na kidogo 3 Billion, kesho huwezi jua?! Inaweza isiwe CRDB, labda benki nyingine au pengine hata BOT yenyewe.
Mabenk yanaibiwa sana ni vile kibiashara haiwezi kuwekwa hadharani
 
Wewe hujaona humu watu wanalalamika pesa zao zinapungua wewe u afikiri waliiba kwenye central benki tatizo ya watanzania nikujifanya wajuaji sasa wewe mwenyewe hujui hiyo fraud ya mtandaoni I afanyainyika je je?

Mim sijui na wew unajua si ndio??
Hivo mim niliekoment hapa sina account crdb? Mim sikukutana na changoto ya mtandao si ndio?

Punguza ujuaji aisee, kama upo ushahid wa kweli kuwa pesa zimepungua, nioneshe muamala uliojaribu kutoa pesa na ukaambiwa hauna pesa yakutosha wakat unajua kiwango cha pesa yako.

Story za mtaani zisifanye uwe mbele na kutetea kitu hukijui, changamoto namim ilinikuta na ili kujiridhisha nilifanya practical ndogo ya kutoa pesa nilizokuwa nazo na zikatoka, nipp nazitumia.

Haya wewe ulitoapesa na zikagoma??
 
Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana

CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo.
View attachment 3471585
Britanicca
KWa hiyo na mimi nikitengeneza ki convo kama hicho cha kwako basi naweze kukianzishia uzi na kukitumia kama ushahidi, kweli FBI wa bongo mna funza kichwani. Hapo utakuta majitu yasiyo reason nayo yanashabikia kitu yasichokuwa na uhakika nao.
 
Mim sijui na wew unajua si ndio??
Hivo mim niliekoment hapa sina account crdb? Mim sikukutana na changoto ya mtandao si ndio?

Punguza ujuaji aisee, kama upo ushahid wa kweli kuwa pesa zimepungua, nioneshe muamala uliojaribu kutoa pesa na ukaambiwa hauna pesa yakutosha wakat unajua kiwango cha pesa yako.

Story za mtaani zisifanye uwe mbele na kutetea kitu hukijui, changamoto namim ilinikuta na ili kujiridhisha nilifanya practical ndogo ya kutoa pesa nilizokuwa nazo na zikatoka, nipp nazitumia.

Haya wewe ulitoapesa na zikagoma??
Acha kubishana na matahahira.
 
Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana

CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo.
View attachment 3471585
Britanicca
Mkuu, Shukrani kwa kutujulisha,

But kwa kwa upeo wangu mdogo tu wa kuchanganua mambo.... Bilioni 3 ni pesa ndogo sana kwa benki kama CRDB...

NI PESA UNAIPATA KWENYE TAWI 1 TU...tena anakopeshwa mteja mmoja tu!...

Kusema kwamba hii changamoto ya upotevu wa Bil 3 ndio imepelekea haya......ni BIG NO!!!

Kuna zaidi ya hapo!.... nahisi MAPAPA wamehamisha pesa zao nyingi sana kutoka CRDB....

Hii ni baada ya taarifa za account zao kuvuja mitandaoni...MAANA UKWELI USIOSEMWA NI WAZI HIZI BENKI ZETU ZINAENDESHWA KIBIASHARA NA PESA ZA HAWA MAPAPA!
 
Bilion zaidi ya 3 that was one branch what about others ! Means can be up to 100 bilion
 
Back
Top Bottom