EEEEeeeenHEEEEEeeeeh!Alafu sijui kwanini wasiweke wazi
Wacha utani mkuu 'britanicca', "waweke wazi"? Hawa waweke wazi taarifa ya namna hiyo; tena wakati wa hatari kama huu?
Nadhani hujui 'implication' ya jambo kama hilo. Pamoja na ujinga/upumbavu mwingi tunaovalishwa waTanzania, lakini nadhani kuna baadhi ya mambo hata wajinga/wapumbavu yanaweza kuwatikisa na kufanya yasiyo tegemewa..
Acha wasafishe, watakapokuwa tayari, watatujulisha, na upumbavu/ujinga wetu utaendelea kama kawaida.
Hakuna wanacho poteza kwa kufanya hivyo.