Niko serious kabisa mkuu japo neno madafu hukulielewa vizuri. Siyo fedha nyingi kiasi cha kuweza kuyumbusha benki kama watu wanavyolalamika sasa. NB: Neno madafu nimetumia kumaanisha fedha ya kitanzania yaani shilingi. Ukisikia mtu anasema fedha ya madafu ina maana anamaanisha shilingi za kitanzania.
Yupo sahihi na ushahidi nimepost hapo juu ya hii post yako. Pia ukiangalia FS zilizokaguliwa za mwaka 2023 na 2024 utajionea.Ungeweka na ushahidi kabisa kusapoti unachosema
Hili ni tatizo kwa wengi kuchelewa kufanya maamuzi. Endelea kufikiria tu mkuu.Hii si mara ya kwanza kwa CRDB ila round hii ndio imepigwa pesa nyingi zaidi. Binafsi nafikiria kuhamia NMB
Sasa itakuaje na mamlaka 2.? BOT wanatisha sema nao ndo wakuda tu.Hivi "financial regulator" wa mabenki ni nani ukiacha BOT?
Nchi yapaswa kuwa na "financial regulator" ili kuziwajbisha banki zinokiuka taratibu ambazo husababisha kuwepo na fraud za makusudi..
Fraud ni wizi wa kiuchumi au economical crime.
Kwa keli ni salama zaidi hadi hapo nyumba itakapoungua au vijana wa kazi watakapokuja kuzichukua.Hifadhi pesa zako chini ya kitanda ni salama kwa afya yako...
Maana yake zilikua zinavuja?Faida ya CRDB baada ya makato ya kodi kwa mwaka 2023 ni bilioni 422 na mwaka 2024 ni bilioni 550. Robo ya faida kwa quarter moja ni bilioni 105 (2023) na bilioni 136.2 (2024).
Walikuwa wapi siku zote kwa kweli ni swali subjective, sijui wewe ulitaka wabadili lini? Ni subjective kwa kuwa huo muda utakaoona walipaswa wawe wamebadili mfumo mwingine anaweza kuona kwamba walichelewa pia.
Upo sahihi mkuu 3.2 b pesa ya mboga hiyo labda wawe wanaficha kuzuia taharuki kwa wateja.Bilioni 3 za madafu? Ni fedha kidogo kwa benki kama CRDB. Labda tatizo sasa liko kwenye kutojua ziliibiwaje na wako salama kiasi gani. Ila kwa Bongo wala hili siyo jambo la kushangaza. Tuna culture ya ku-relax na kutokuwa makini kwa kila jambo.
Chimbia chini huko km Pablo weka tranka la Chuma au pipa la Chuma hata nyumba iungue moto moto hauingii kwenye Chuma ndio maana bank wanazofungia kwenye machumaKwa keli ni salama zaidi hadi hapo nyumba itakapoungua au vijana wa kazi watakapokuja kuzichukua.
3bn ndogo sana hiyo. Annyal profit inaenda 700bn.Walikua wapi siku zote kubadili software mpya mimi sikubaliane na wewe kwamba 3bn ni hera ndogo ni karibia robo ya faida yao ya quarterly hiyo pesa ni nyingi kwa uchumi wetu Tanzania kuiondoa kwenye.circulation.
Hahahaha annual net profit 600bn kwa uchumi wa nchi gani mkuu? Kuna matawi y crdb hata kutengeneza faida ya 1bn kwa mwaka inashindwa ndo uje ubeze 3bn loss3bn ndogo sana hiyo. Annyal profit inaenda 700bn.
Hii katiba tuliyo nayo ni chakavu na mbovu sana. Hata hiyo hatuwezi kumlaumu kwa uzembe na ufisadi unaoendelea nchini. Tumeweka mafisadi madarakani halafu tumlaumu Nyerere?Tunateseka kwa legacy yake, mpaka leo wewe anglia aina ya uchanguI nchini unafikiri nanai kaweka katiba ya mwaka 1977 ambao inatutesa.
Ili ndio jibu halisi sasaBank imechangia chama kimya kimya wasituchoshe
Mimi nawasiwasi sana na hawa wanageria waliojazana kwenye apartments za masaki na osterbay bila ya kuwa na kazi zisizoeleweka wale jamaa ni washenzi over kwenye hacking.Bilioni 3 za madafu? Ni fedha kidogo kwa benki kama CRDB. Labda tatizo sasa liko kwenye kutojua ziliibiwaje na wako salama kiasi gani. Ila kwa Bongo wala hili siyo jambo la kushangaza. Tuna culture ya ku-relax na kutokuwa makini kwa kila jambo.
Kwanza unaanzaje yule mzee alikuwa hana soni kwenye mali za umma anakusema hadharani yaani km polepole vile.Mkuu, hata kumlaumu Nyerere ni moja ya mambo yanayotufelisha na kutufanya tuwe tulivyo. Nyerere kaondoka siku nyingi ingekuwa tuko makini ungekuta tuko vizuri tu. Infact kipindi cha Nyerere tulikuwa tuko vizuri kabisa kuliko sasa hivyo ni sisi tumeharibu wenyewe. Kipindi cha Nyerere mkuu wa usalama aumajeshi angethubutu kununua magari ya kifahari kama sasa?
Hamna benki mbadala hapa Tz, zingine zinamatatizo makubwa kuliko ya crdb.Hii benki imeshakufa.
Itakuwa ni zaidi ya hizo na huenda ni mafisadi wa nchi hii wamezipiga ndio maana mamlaka ziko kimya.mbona wameiba pesa kidogo sana, ukilinganisha na usumbufu uliotekea , wanazidiwa na mtoto wa boss alitoa dole la kati
3billion kwa crdb ni hela ndogo mno. Watu wengi sana binafsi wana hiyo hela. Sema kwamba imeibwa ibwaje ndio issue. Kujua na kuziba mwanyaMmh 3bn ni pesa ya madafu kwa CRDB mkuu get serious huo ni karibia mshahara wa watumishi karibia wilaya nzima za vvijijini