Yupo sahihi, Ni hela kidogo kwao ukilinganisha na faida ambayo huwa wanaipata kwa mwaka. Issue ni kuziba mianya ya hizo fraud kama zipo kweli.
Mimi nimekuwa nikiongea na watu wa crdb kinachoonekana baada yq kumove kwenda kwenye mfumo mpya ulioanza kazi jumatatu ya wiki hii kumekuwa na mapungufu kadhaa ambayo wanayafanyia kazi, mojawapo ni pale unapoweka au kutransfer fedha kwenda acc yako ya crdb simbanking kutokuonesha salio lakini ukimpigia mtu wa ndani anakusomea salio sahihi. Pamoja na changamoto nyingine.
Unapobadilisha mfumo huwezi kukosa mapungufu sema wanatakiwa kuyafanyia kazi mapema na pia wanatakiwa wawaeleze wateja kinachoendelea, kukaa kimya ndio kunafanya watu wanaspeculate na wengine wanaamini wanayoambiwa na wanahama