CRDB wamerejesha pesa yangu. walimu tuwe makini. Kuna uhuni na ujanja unafanyika

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa.

Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni

Eti labda system. System gani hiyo ya Crdb tu ndio inachukua pesa zisizo husika.
 
Ungewashtaki BOT mkuu maana wamechukua pesa ambayo haiwahusu....Mkataba wa mkopo deni linakatwa mshahara ukiingia kuanzia tar lets say 24 na kuendelea ,na pesa ya mshahara inakuwa declared kwamba hii ni salary.
 
Ala, jana nimekushauri vizuri tu ila sikujua kama ni mwalimu, hebu tupe kwanza muongozo kabla hatujageuzana kitimoto, kwenye vituo vya kupigia kura kulikuwaje, zile kura 98% zilitoka wapi, wakati wapiga kura tulikuwepo barabarani?
Usiniletee upuuzi. Nipo konyagi mbili ndogo. Nitakutukana nipate ban
 
Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa.

Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni

Eti labda system. System gani hiyo ya Crdb tu ndio inachukua pesa zisizo husika.
Me juzi nimetuma 10k kwa mtu kule haijafika wakaniambia tunalifanyia kazi na hela haijarudi mpaka sasa

Cc Rayns
 
Hadi mitandao ya simu halotel wanakata MB kimya kimya, mfano ukinunua bundle la 500 kifurushi cha bila ukomo wa muda, zinakatwa MB 11, bila kuangalia salio hauwezi jua
 
Wanazinguw qu wanadhani hela inaokotwa

Hela inapambaniwa kwenye jua kaliiii halagu wao wanakata kama yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…