Ndio zao misimu ya xmass pole.Siku hizi...kila nikiwa nahitaji huduma za kibenki hasa nikiwa Kkoo au posta ..nikienda Tawi lolote la Crdb lazima nipate maudhi....Hadi najiuliza ni Mimi Tu nnaeona kuna shida mahal?
Asubuhi moja nimejikuta kwenye foleni ya ATM posta ..Azikiwe street....imagine foleni ya ATM...
Nahisi hii bank imeelemewa na wateja hasa "Daresalaam CBD" na ni kama hawana kabisa mipango ya kuongeza ATM na kuhakikisha ATM zote zilizopo zina fanya kazi Sawa sawa....wala sioni dalili za wao kuongeza matawi Kkoo....
Hii bank ni kama vile imeridhika na Hali ilivyo...
Double deduct tunaziogopaila crdb SI visa toa benki zingine
Upo Arusha shoga Angu ???Watu wana draw pesa za sikukuu
Hata Njiro Branch kuna nyakati foleni balaa kwa tellers
🤣🤣💃💃💃Upo Arusha shoga Angu ???
Poa myDouble deduct tunaziogopa
Tumia ATM za benk zingine tu. Kama visa card au master card. Gharama za boda zinaweza kuwa mara mbili ya makato kwenye ATM za banki nyingine.Jamaa wanafeli Sana, Siku moja nikipata dharula ya kifedha nikiwa pale Ofisi za Mkuu WA Mkoa Ilala. Nikaulizia ATM ya karibu wakasema niende msimbazi.
Nimechukua boda had round ya msimbazi kwa mbele kule Wana kibrach pale pembeni ATM Haina hela, boda akasema twende mnazi mmoja aisee nafika napishana na wateja nao wanatoka wanalalamika wametoa Kkoo Sokoni kule hamna kitu.
Nilifanikiwa kutoa Azikiwe Street ikanibidi nirudi Tena Ilala kwa boda Aisee nilikereka Sana.
Yaani nipo City Centre lakini kutoa hela ni ishu,
[emoji51]Makato sasa....
nilijumlisha hayo makato kwa mwezi mmoja nikata 158,000.
Ni hela ambazo hazionekani, ukitaka kujua we chukua bank statements kila mwezi halafu jumlisha hizo mia mbili zao...[emoji51]
Makato too Much. Bora kibubu tu
Bora ungeenda shaurimoyo pale jirani na machinga complexJamaa wanafeli Sana, Siku moja nikipata dharula ya kifedha nikiwa pale Ofisi za Mkuu WA Mkoa Ilala. Nikaulizia ATM ya karibu wakasema niende msimbazi.
Nimechukua boda had round ya msimbazi kwa mbele kule Wana kibrach pale pembeni ATM Haina hela, boda akasema twende mnazi mmoja aisee nafika napishana na wateja nao wanatoka wanalalamika wametoa Kkoo Sokoni kule hamna kitu.
Nilifanikiwa kutoa Azikiwe Street ikanibidi nirudi Tena Ilala kwa boda Aisee nilikereka Sana.
Yaani nipo City Centre lakini kutoa hela ni ishu,
Kweli kabisa...Afu CRDB wana tabia mbaya pia [emoji3]
Unaweza toa hela juma3, wakaja kukukata j5 zile withdraw charges.
Limenikuta zaidi ya mara1