The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Siku hizi kila nikiwa nahitaji huduma za kibenki hasa nikiwa Kkoo au posta nikienda Tawi lolote la Crdb lazima nipate maudhi.
Hadi najiuliza ni Mimi Tu nnaeona kuna shida mahal? Asubuhi moja nimejikuta kwenye foleni ya ATM posta Azikiwe street, imagine foleni ya ATM.
Nahisi hii bank imeelemewa na wateja hasa "Daresalaam CBD" na ni kama hawana kabisa mipango ya kuongeza ATM na kuhakikisha ATM zote zilizopo zina fanya kazi Sawa sawa, wala sioni dalili za wao kuongeza matawi Kkoo.
Hii bank ni kama vile imeridhika na Hali ilivyo.