CRDB Wana matatizo gani?

CRDB Wana matatizo gani?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Siku hizi kila nikiwa nahitaji huduma za kibenki hasa nikiwa Kkoo au posta nikienda Tawi lolote la Crdb lazima nipate maudhi.

Hadi najiuliza ni Mimi Tu nnaeona kuna shida mahal? Asubuhi moja nimejikuta kwenye foleni ya ATM posta Azikiwe street, imagine foleni ya ATM.

Nahisi hii bank imeelemewa na wateja hasa "Daresalaam CBD" na ni kama hawana kabisa mipango ya kuongeza ATM na kuhakikisha ATM zote zilizopo zina fanya kazi Sawa sawa, wala sioni dalili za wao kuongeza matawi Kkoo.

Hii bank ni kama vile imeridhika na Hali ilivyo.
 
Ila mda mwingne unajiuliza hawa wenye bank sehemu kama kariakoo ambaya naamini ina transactions nyingi na kubwa kuzidi mikoa mitatu ya kule chini kwa siku ni ya kuweka tawi moja la Benk?

Hao NMB wenyewe wapo kule karibu na soko kuu(mtaa wa livingstone nahisi)baasi.
 
Jamaa wanafeli Sana, Siku moja nikipata dharula ya kifedha nikiwa pale Ofisi za Mkuu WA Mkoa Ilala. Nikaulizia ATM ya karibu wakasema niende msimbazi.

Nimechukua boda had round ya msimbazi kwa mbele kule Wana kibrach pale pembeni ATM Haina hela, boda akasema twende mnazi mmoja aisee nafika napishana na wateja nao wanatoka wanalalamika wametoa Kkoo Sokoni kule hamna kitu.

Nilifanikiwa kutoa Azikiwe Street ikanibidi nirudi Tena Ilala kwa boda Aisee nilikereka Sana.

Yaani nipo City Centre lakini kutoa hela ni ishu,
 
Siku hizi...kila nikiwa nahitaji huduma za kibenki hasa nikiwa Kkoo au posta ..nikienda Tawi lolote la Crdb lazima nipate maudhi....Hadi najiuliza ni Mimi Tu nnaeona kuna shida mahal?
Asubuhi moja nimejikuta kwenye foleni ya ATM posta ..Azikiwe street....imagine foleni ya ATM...

Nahisi hii bank imeelemewa na wateja hasa "Daresalaam CBD" na ni kama hawana kabisa mipango ya kuongeza ATM na kuhakikisha ATM zote zilizopo zina fanya kazi Sawa sawa....wala sioni dalili za wao kuongeza matawi Kkoo....

Hii bank ni kama vile imeridhika na Hali ilivyo...
Ndio zao misimu ya xmass pole.
Tulilalaga njaa xmass njoo dtb mtu wangu ipo safi ni rahisi always hukosi huduma ila crdb SI visa toa benki zingine
 
Jamaa wanafeli Sana, Siku moja nikipata dharula ya kifedha nikiwa pale Ofisi za Mkuu WA Mkoa Ilala. Nikaulizia ATM ya karibu wakasema niende msimbazi.

Nimechukua boda had round ya msimbazi kwa mbele kule Wana kibrach pale pembeni ATM Haina hela, boda akasema twende mnazi mmoja aisee nafika napishana na wateja nao wanatoka wanalalamika wametoa Kkoo Sokoni kule hamna kitu.

Nilifanikiwa kutoa Azikiwe Street ikanibidi nirudi Tena Ilala kwa boda Aisee nilikereka Sana.

Yaani nipo City Centre lakini kutoa hela ni ishu,
Tumia ATM za benk zingine tu. Kama visa card au master card. Gharama za boda zinaweza kuwa mara mbili ya makato kwenye ATM za banki nyingine.
 
Jamaa wanafeli Sana, Siku moja nikipata dharula ya kifedha nikiwa pale Ofisi za Mkuu WA Mkoa Ilala. Nikaulizia ATM ya karibu wakasema niende msimbazi.

Nimechukua boda had round ya msimbazi kwa mbele kule Wana kibrach pale pembeni ATM Haina hela, boda akasema twende mnazi mmoja aisee nafika napishana na wateja nao wanatoka wanalalamika wametoa Kkoo Sokoni kule hamna kitu.

Nilifanikiwa kutoa Azikiwe Street ikanibidi nirudi Tena Ilala kwa boda Aisee nilikereka Sana.

Yaani nipo City Centre lakini kutoa hela ni ishu,
Bora ungeenda shaurimoyo pale jirani na machinga complex
 
Back
Top Bottom